Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Ngwajima laana ya kuvunja ndoa ya hawa vijana kisa uchu wa ngono itaendelea kukutafuna
 
Acheni roho mbaya, mlitaka Flora aishi maisha mnayotaka ninyi. Watu tushatumiwa kadi long time na wawakilishi washajiandaa kutuwakilisha kama kawa.
Hongera sana mwanakwetu kwa kutuletea shemeji wa ukweli, I wish kama ningekuwa karibu ningekesha nacheza "malekule" ya kisukuma
 
Kweli machangudoa wapo kila sehemu, Kumbe hata waimba nyimbo za enjili nao ni wahuni kiasi hili? Hivi hao wanaokwenda kumsikiliza Frola wanaupako sawa sawa? Tangu lini NDOA iliyofungwa kanisani ikavunjwa na mahakama na bado ukenda olewa tena?
Muulize anafunga juma pili kwa kanisa lipi? Lbd kama sabato au mwislam?hakuna kanisa jengine lenye kufunga jpili.
 
Hilo neno inahusu huwa linanivunja mbavu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
waswahili kwa maneno utatuweza mkuu!! tena ukikuta,wawili mmoja anasema 'inahusu' mwingine anajibu 'haihusu'
 
Reactions: Pep
Bora nikanunue bongo muvi moja, nijioneee mnayoandika vinajiri humo kuliko vya huyu mwanamke.
 
hongera frola mwaya hao wanaokudhihaki ndo hao hao wangekucheka ukipata ngwengwe kila la kheri mwanamke mwenzangu na ndoa yako ikadumu daima maana hata huyo mbasha mwenyew wanaomtetea simuelewi mwanaume kajikoboa halafu mvaa macheni kama mchezaji wa Akudo move on my Frola kila la kheri
 
Nafahamu kwenye Biblia inaeleza ndoa inaweza kuvunjika kama
Mmoja wapo alifanya uzinzi nje ya ndoa. Pili endapo mtu anataka kukutoa kwenye Imani hebu tafuteni hio mistari.
 
biblia imeruhusu kuachana kwa uasherati/zinaa lkn wakati huohuo ikasisitiza kuwa ukiacha au kuachwa then ukaolewa/kuoa na mume/mke mwingine unazini!!! Kwahiyo ukiamua kuvunja ndoa uwe tayari kuishi kama mjane/msimbe. Biblia haijaacha jambo...soma kwa makini uelewe.
 
Biblia inasisitiza sana kusameheana na inasema asiye samehe wengine bila kujali aina ya kosa, basi hata yeye Mungu hatamsamehe mtu huyo.

Kuhusu kisa cha hawa wawili, Flora ndiye aliye mwacha Emma, wakati ule Emma alimbembeleza sana Flora wasahau tofauti zao warudi waishi kwenye ndoa yao lakini Flora alikataaa kata kata hata kumtia aibu mumewe. Wakati huo Flora alikuwa anahatia mbele za Mungu kwa kuvunja ndoa na kukataa msamaha wa mumewe.
maana biblia inasema mtu akikosa hata saba
mara sabini kwa siku akija na kuomba msamaha, msamehe.

Baada ya kesi kwisha, Flora alimtaka mume wake amsamehe warudiane, kakini Emma alikataa katakata. Hivyo hatia ikageuka kwa Emma.

Kwa sababu hiyo Flora amehesabiwa haki kwa sababu aliomba msamaha kabla Emma hajaoa lakini Emma alikataa, kibiblia hata Mungu hajamsamehe Emma dhambi zake kwa kukataa kumsamehe Flora. hivyo Emma anahesabiwa kama mdhambi tu aliye amua kumwacha mkewe.

Hivyo Flora aliye tubu anapata uhalali wa kuolewa kwa neno linalosema:- yeye asiye amini akitaka kuondoka na aondoke, ndipo huyo ndugu mume au mke yu huru.

Kwa sasa Flora yuko huru
kuolewa kwa sababu Emma kamwacha kwa kukataa kumsamehe pale Flora alipoomba Emma amsamehe warudiane.

Emma atabaki na hatia.

Biblia inasema heri kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa. Flora bado kijana sana. Hana hatia kabisa mwacheni aolewe amtumikie Mungu vizuri.

HAPPY WEDDING FLORA.
 
Unaweza kuthibitisha kujichubua kwake?
 
Nafahamu kwenye Biblia inaeleza ndoa inaweza kuvunjika kama
Mmoja wapo alifanya uzinzi nje ya ndoa. Pili endapo mtu anataka kukutoa kwenye Imani hebu tafuteni hio mistari.
Uzinzi uliothibitika na kuwe na ushahidi, ikiwezekana wa kuonekana na watu wengine.

Kwahiyo baada ya Flora Mbasha kuzini ndio akajimuvuzisha mwenyewe sio?
 
Kweli kabisa
 
Ni Mchungaji gani ataifunga his ndoa batili?
 
waswahili kwa maneno utatuweza mkuu!! tena ukikuta,wawili mmoja anasema 'inahusu' mwingine anajibu 'haihusu'
Noma mkuu, aaf hapo unakutaga kuna vi movement vya sehem 'fulani' ya mwili....mixer kuchezesha vidole...dah nachekaga aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…