Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

Huo ni uhuni tu wa kawaida wa Flora Mbasha na hawara yake, hakuna ndoa za namna hiyo katika Dini ya Kikristo.
Halafu bado anadai ni mwimbaji za Injili, injili gani hiyo inayosindikizwa na Umalaya?

Aende akaimbe bongo flavour, kule ndio kunakomfaa kwa sasa.
 
Halafu nimakosa Sana kumuita flora Mbasha= inabidi mumuite Flora Daud
 
Kaamua tamuu iende kwa mtu ingine ili hali Mbasha yupo kwa kurasimisha.Mungu anamuna Jamani
 
Sishangai sana frola kufanya hilo haya in matokeo ya makanisa ya sasa wao kuvunja ndoa ni jambo LA kawaida kwao.wao wanahubiri injili ya mafanikio tu .mambo ya ndoa si shida.utafiti unaonyesha haya makanisa mapya yamevunja ndoa nyingi sana
 

Haya nunueni album ya mtumishi
atasema tena kwa Daudi " hadi kifo kitutenganishe"
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
bado anaimba gospel tu?, shame on her!!
maandiko yalishasema kuwa kama ninyi (watakatifu) hamtaki kuniimbia Mungu anaweza kuyainua mawe (watenda maovu) haya kuniimbia . kwa hiyo usihofu mkuu anatimiza maandiko.
 
maandiko yalishasema kuwa kama ninyi (watakatifu) hamtaki kuniimbia Mungu anaweza kuyainua mawe (watenda maovu) haya kuniimbia . kwa hiyo usihofu mkuu anatimiza maandiko.
teh teh mbona waimbaji wako wengi tu [emoji28]
huyu uhuni wake mwenyewe tu ndio wamtuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…