Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Sura ya ngapi na mstari Wa ngapi panathema hivyo?!lakini inasisitiza pia ukioa tena au kuolewa tena una zini, [emoji28]
yaan bible ni very technical, akizini waweza mwacha lakini uhakikishe huoi au huolewei tena [emoji28]
husna ku uweka hapa sio vzuri, njoo PM nikupe full mstariSura ya ngapi na mstari Wa ngapi panathema hivyo?!
....isipokuwa kwa habari ya uazheratisikumbuki kitabu,lkn uko sahihi,amwoaye alieachwa nae anazini.
Mungu huwa hakawii wala hachelewi ni suala la muda tu wale ambao tutajaliwa,huku ni kimjaribu munguhahahaha kwa mjibu wa maandiko matakatifu walioyakiri siku ya ndoa ee?
kwa hiyo hapo kawahi ama kachelewa maana maandiko yanasema watatenganishwa na kifo, cha ajabu wametengana na wote wako hai au kuna mmoja ni mfu kiakili na kiroho ndo maana mwingine kaamua kuolewa. wana matatizo hawa watumishi wa mungu wala siyo sisi mashuhuda mkuuMungu huwa hakawii wala hachelewi ni suala la muda tu wale ambao tutajaliwa,huku ni kimjaribu mungu
Unajuaje labda Mbasha "atachukuliwa" kabla ya jumapili!Kibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
Then my point stands. Ni kikopo HuyoFlora ana mtoto( 3yrs old) na mwanaume mwingine
26Sasa hivi unayo mingapi mkuu
Kuna watu wana roho ngumu haswa mkuu.Kuna watu wana roho ngumu
Flora Mbasha hajui hiloKibiblia huyo Daudi, haitajiwi kumwoa flora, mpaka mbasha Mungu amchukue!!
Mimi wazazi pia huwa wananikumbusha hilo ila huwa siwajibu chochote lakini sababu ni kwamba Sioni aina ya wanawake wafaao kuolewa.Aisee Maisha ya ndoa magumu sana juzi kati mama kaniambia nimekua nioe nikamwambia anipe miaka mitano mingine.
Wewe unamfahamu Mbasha vizuri?mbasha naye ubishoo amezidi khaah!!..halafu ni kama huwa anajipodoa usoni
Flora funga ndoa mwaya maisha yenyewe yako wapi kujipa stress na bishoo (mume kama boyfriend inahusu!)
Hommie, Hao wote kibiblia wanaitwa Wanawake Wazinzi.Naye anaandika Historia ya kuvaa shela mara mbili, huku mume wa kwanza akiwa hai, Historia hii pia iliwahi kuandikwa na Joyce Kiria alipofunga ndoa mara ya pili na Kilewo.