Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Wakihojiwa hivi punde na Soud Brown wa YOU HEARD ya Clouds FM, Flora amesema kamwachia Mbasha kila kitu kuanzia nyumba, magari na pesa benki ktk akaunti zote. Kibaya anadai jamaa hamkumbuki mtoto. Emmanuel kwa upande wake kakataa akidai Flora hataki mawasiliano hivyo ni vigumu kufuatilia habari za mtoto. Ikumbukwe Flora yupo kwenye ndoa nyingine sasa.

 
Sound brown ndo naniii? [emoji124] ntarudi

sent from my land lover 109 using Jamii forums app
 
Mmmmh jamani ckuzote wahenga wamenena kwamba mtaraka hatongozwi kwahiyo hilo wala lisiwape shida kwamba hawawasiliani ipo siku watakuwa na mawasiliano na kukumbukia ezi zao japo flora amesema yeye kaokoka na cku zote mtu aliekoka awezi kutoka nje ya ndoa take lakn pia hawezi kuzungumza mambo ya aibu ya nyumbani kwake ambayo ilikuwa ni siri yeye na mume wake kwamba mumewe ni goigoi hamridhishi na cyo siri huyo Dada kamzalilisha x wake kwahili cjaona uokovu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbasha naye mawasiliano ya nini! yule mtoto ni binti mkubwa kabisa wangempa utaratibu tu kwamba siku fulani awe anaenda kuspend time na baba.

mawasiliano yanaweza kusababisha upashaji wa kiporo!
YULE MTOTO HADI SIMU ANAYO
 
mbasha naye mawasiliano ya nini! yule mtoto ni binti mkubwa kabisa wangempa utaratibu tu kwamba siku fulani awe anaenda kuspend time na baba.

mawasiliano yanaweza kusababisha upashaji wa kiporo!
Wewe ushaona wapi mwanaume ana machisha kuanzia kofia, Shari, suruali, mpaka kiatu?

Wanaume wanatambulika tu. Kule kujiremba ni jaribio la kupata kila kilichopungua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images
 
Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
Subhanalah......[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom