Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha walaumiana SHILAWADU

mbasha naye mawasiliano ya nini! yule mtoto ni binti mkubwa kabisa wangempa utaratibu tu kwamba siku fulani awe anaenda kuspend time na baba.

mawasiliano yanaweza kusababisha upashaji wa kiporo!
Naunga mkono hoja
 
Sema wanawake mnakutana na mengi sana vyumbani mara huyu kibamia huyu hanithi, huyu mguu wa mtoto huyu mfiraji daah
Duhh.....[emoji47] [emoji47]
Huo mkono unao bonyezea maneno taka, ndio unao utumia kupekea fudi kinywani...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Wakihojiwa hivi punde na Soud Brown wa YOU HEARD ya Clouds FM, Flora amesema kamwachia Mbasha kila kitu kuanzia nyumba, magari na pesa benki ktk akaunti zote. Kibaya anadai jamaa hamkumbuki mtoto. Emmanuel kwa upande wake kakataa akidai Flora hataki mawasiliano hivyo ni vigumu kufuatilia habari za mtoto. Ikumbukwe Flora yupo kwenye ndoa nyingine sasa.



Promo ya Kitabu........
 
Huyu mbasha mpuuzi kweli kapewa vyote hivyo na bado alikuwa anataka kumuingilia flora kinyume na maumbile
Kwani si ndio mchezo wenu watoto wa mjini....sasaivi hakuna cha mtu wa pwani wala wa bara wote mulemule ushenzi m2pu
 
U-Heard-: Soudy Brown awakutanisha Madam Flora na Emanuel Mbasha watoleana MAPOVU.



MI NASHAURI SWALA LA MTOTO WAONGEE VIZURI MAANA MPAKA HAPO WASHAMUATHIRI SANA..​
 
Back
Top Bottom