mbasha alikuwa anatembelea nyota ya mwenzie , kajifanya meneja pesa zote za kamapeni ya kikwete kala , yaani huyu dada angekuwa mbali sana kimaisha bila huyu jamaa, jamaa ni mtoto wa mjini alikuwa anatata hifadhi tu, sasa wewe subiri five years to come utajuwa nani alikuwa sahihi.
flora atazidi kuwa juu na ataishi kwa kipaji chake ni kama stori ya JD na gadner tu tufauti uipo kidogo sana , maisha ya muziki yapo pale pale pasipokujari unaimba kiroho au mwili but we ni msaanii , kuna namna ya kuishi na kama ndoa upate mtu sahihi ,
wengi wamepotea katika game kwa kupata wenza sio angalia upendo kirahilo yuko pale pale nadhani sasa kastuka kaachana na yule jamaa sasa yuko juu tena juzi tu kachukua tuzo USA. na anafanya shughuri zake huko .
tumwachie flora maisha yake binafsi tusaport kazi zake.