Mtu wa Kigamboni
Member
- Jul 24, 2015
- 80
- 38
Mbona hawa wanamziki wa Injili wa kike wanatengana na waume zao sana hivi sasa? Ona pia huyu Upendo Kilahiro naye kambwaga mumewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hawa wanamziki wa Injili wa kike wanatengana na waume zao sana hivi sasa? Ona pia huyu Upendo Kilahiro naye kambwaga mumewe!
Huyu aliingia kwenye muziki wa Injili kutafuta kikiKama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.
Hayo ni maneno yake tuWalitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.
Ahhahahahaha mie simo wakija alshabab kuja kumchukua dada yao!!!Flora mbasha hafai kuwa mke yule....muhuni, roho mbaya kama nini.
Bora umuoe FF mjaidina kuliko huyo mwanamke.
mbasha alikuwa anatembelea nyota ya mwenzie , kajifanya meneja pesa zote za kamapeni ya kikwete kala , yaani huyu dada angekuwa mbali sana kimaisha bila huyu jamaa, jamaa ni mtoto wa mjini alikuwa anatata hifadhi tu, sasa wewe subiri five years to come utajuwa nani alikuwa sahihi.
flora atazidi kuwa juu na ataishi kwa kipaji chake ni kama stori ya JD na gadner tu tufauti uipo kidogo sana , maisha ya muziki yapo pale pale pasipokujari unaimba kiroho au mwili but we ni msaanii , kuna namna ya kuishi na kama ndoa upate mtu sahihi ,
wengi wamepotea katika game kwa kupata wenza sio angalia upendo kirahilo yuko pale pale nadhani sasa kastuka kaachana na yule jamaa sasa yuko juu tena juzi tu kachukua tuzo USA. na anafanya shughuri zake huko .
tumwachie flora maisha yake binafsi tusaport kazi zake.