Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Mbona hawa wanamziki wa Injili wa kike wanatengana na waume zao sana hivi sasa? Ona pia huyu Upendo Kilahiro naye kambwaga mumewe!
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tangu lini Upendo Kilahiro kambwaga mumewe? Aisee hatari hii
 
Flora mbasha hafai kuwa mke yule....muhuni, roho mbaya kama nini.

Bora umuoe FF mjaidina kuliko huyo mwanamke.
 
Kama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.
Huyu aliingia kwenye muziki wa Injili kutafuta kiki

Mwanamke ana roho na tabia mbaya sana huyu.

Wasukuma wa siku hizi hawana utu tena.
 
Walitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.
Hayo ni maneno yake tu
 
Sasa km hawa tunaojua ni watumishi wa Mungu ndoa zinawashinda itakuwaje watu wa kawaida?! Hawa wanaotuubiria mambo matakatifu ya Mungu Leo wanakosa moyo wa ujasir wa kusimamisha ndoa yao!? Ndio maana siaminigi hawa waimba injili weng wao wamekaa kibiashara tu na si kumtukuza kwel Mungu.. Sa cjui ataendelea kuimba tn Gospel au atageukia bongo flava tu! Cjui
 
mbasha alikuwa anatembelea nyota ya mwenzie , kajifanya meneja pesa zote za kamapeni ya kikwete kala , yaani huyu dada angekuwa mbali sana kimaisha bila huyu jamaa, jamaa ni mtoto wa mjini alikuwa anatata hifadhi tu, sasa wewe subiri five years to come utajuwa nani alikuwa sahihi.
flora atazidi kuwa juu na ataishi kwa kipaji chake ni kama stori ya JD na gadner tu tufauti uipo kidogo sana , maisha ya muziki yapo pale pale pasipokujari unaimba kiroho au mwili but we ni msaanii , kuna namna ya kuishi na kama ndoa upate mtu sahihi ,
wengi wamepotea katika game kwa kupata wenza sio angalia upendo kirahilo yuko pale pale nadhani sasa kastuka kaachana na yule jamaa sasa yuko juu tena juzi tu kachukua tuzo USA. na anafanya shughuri zake huko .
tumwachie flora maisha yake binafsi tusaport kazi zake.
 
Nimesikitika sana kusikia Amon na Upendo wameachana. Imeniuma kiukweli. Ila Mungu anajua yote
 
Back
Top Bottom