Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amevurugwa sosi snura
mi vimiguu vyake kama kapiga sarakasi
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
mbna kama wamemchora?
eti mbna uzi wa kidoti haupo?
Hahaaahaaaa!! Leo Frola amejua kunitengenezea cku yangu...maana poz zake niza hatar..Big up Frola
yaan mwanamke ananichekesha kweli huyu lichupi lake kama superman au mtoto anapima uzito clinic
hahahahahaha nyie si mnafundishwa namna ya kuwa sexy?mbona tena mnamnanga ticha?