Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Kuna vitu vya kusema Big up sio hiki!!!!!!!
Huyu ni trans gender?Ni mwanamme aliyegeuka mwanamke kwa kufanyiwa surgery?Mbona kakomaa sana!
Kuna picha zake za kikwapa cheusiiiiiii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu vya kusema Big up sio hiki!!!!!!!
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
Hivi kwa nini kuna bendera ta Taifa kwenye hii picha!? Anawakilisha nchi au!?
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
Amenivutia sana huyu dada!
Anapatikana wapi vile, nataka nimtongoze mie!
anapatikana florah lymo fassion police
View attachment 117634View attachment 117635
Wadada na wamama mpo?sio umekaa home na mijikanga tu. Florah anawafundisha mkaeje nyumbani. Selebriti wa wiki.
Hahaha huyu ni muwakilishi wa wachaga london, hahaha mchaga wa kwanza kufika ulaya enzi hizoooo ila naona miezi hii kama amevurugwa vile