Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
- Thread starter
- #61
ila atakuwa anawakilisha pia kwa shape nzuri eeh? manake watani wangu huwa wamepunjwa makalio, sasa ukikuta alieotea kiduchu tu weeh mnakoma. nashukuru mungu ana tumiguu kama twangu:A S-confused1:
Hahahaha watani bwana wanajiona kila kitu wapo juu, ila upande wa salio mhhhh




