Baadae utasikia oooh unajua ile mimba haikuwa riziki so Mungu alichukua kiumbe chake kabla hakijaja duniani
hiyo itakuwa sehemu ya series mpya.
Hii avatar yako hisa inaniacha hoi mkuu, nikiwa na stress hisa nafungua nikiangalia kwa mda fulani nacheka2 na stress zinapungua.
Mie naona tukubaliane na alichokisema kwani hayo yametokea kwake so!!!!!
Wote mnasema mnapendana,sasa kwanini hamrudiani?
Mjomba ni mkia wa komba ukiuchezea utakuchapaaaaaaaaaaa......................................!!!! yamekua hayo sasa..................!!!!Au mimba haimtaki Emmanuel ndio maana karudi, Eti Gwajima Anko wake,
Anatuzuga kwa vile anajua hatuwezi kuipima hiyo Mimba ya Gwajima kwenye test ya DNA, ngoja photocopy ya Gwajima mzee wa chopa itoke tuone. Vipi kuhusu kununuliwa Prado na Gwajima amesemaje? Au ndio hizo anazoita ndoto zinatimia. Namuonea huruma sana Emma Mbwasha, Kama kuna mwana JF ana kile kibao cha "wanaume tumeumbwa mateso" akitupie hapa kiniburudishe na jamaa yangu Bujibuji