Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

pole kubwa kwa Flora Mbasha., nae sasa anatumika kwa media.!!?? Like all the others ,.. SAD.
 
ukitaka maisha yako yawe mazuri sana hapa duniani keep yourself away from media............. yaani katika vitu vinavyoweza kukupaisha ukaapaa kwa mabawa kama malaika ni media lkn katika vitu vinavyoweza kukurudisha ukazama kwenye tope kubwa ni media hiyo hiyo. Bahati mbaya sana ma celebrity huwa hawalijui hili na sio wa hapa bongo tu hata wa ulaya. siku hizi uko ulaya ukiskia mwanamziki ana jamba siku hiyo hiyo Hollywood wataliweka kuwa ni news.

sasa na wao macelebrity wameshindwa kujipa privacy maisha yao yanaanikwa kama karanga. mie kwanza nuingekuwa flora nisingekwenda kwenye media hata kama wameniomba kunihoji ningewatolea nje tu. hakuna sababu ya kufanya maisha yake binafsi kuwa public, mwishowe ataulizwa mimba ilipotungwa alikaa staili gani, kwenye chumba cha aina gani etc.
hapa wajuvi wa mambo tunataman kumuuliza hivi kwa miaka yote 10 ilikuwa ni nin hakuzaa mtt mwingine af leo itokee coincidence kwamba baada ya ugomvi na mumewe ndipo amegundua kwamba ni mjamzito..........so sad

af ikiwa mumewe mpaka wa leo ni 5 mionths hayuko hm sasa miez miwili hii ilisaga lilipotoka hakujua kwamba ni mjamzito? kwann hakusema ayo?

Sihukumu lkn Mungu anisamehe tu sijapenda alivyoenda kujianika tena mtu wa umri mkubwa kama yeye, imagine Sinta kakua kiakili kuliko yeye.
 
Wakubwa hatudanganyiwi nyau,ati hata siku moja hujamsaliti jamaa!!!acha kabisa hiyo kitu
 
Hii avatar yako hisa inaniacha hoi mkuu, nikiwa na stress hisa nafungua nikiangalia kwa mda fulani nacheka2 na stress zinapungua.

Mkuu si wewe tu, hii avatar hata kan'tangaze beautiful girl anaikubali.
Na F.Mbhasha akiiona itakuwa hatari
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa wafuatiliaji wa hii skendo....tunasubiri season ya mwisho yenye episode moja tu..itatujia baada ya mtoto kuzaliwa...kaa mkao wa kuifuatilia muv hii tamu....
 
for better
for worse
untill death do us apart
i promise that i will be faithfull to my husband/wife....!
 
Mie naona tukubaliane na alichokisema kwani hayo yametokea kwake so!!!!!

as simple as that? why not go 4 DNA test when the baby is born to verify the validity of her utterance? flora ana mimba ya miezi 3 na ameachana na mumewe 4 months go...ina maana emma amemuambukiza mimba flora by osmosis or diffusion? hizo sperms zilisafiri kwa muujiza gani kutoka tabata hadi kawe kwenda kumjaza flora mimba?

jamani, uongo mwingine hata ukimdanganya mtoto atakuumbua. aseme vzr namna alivyopata hiyo mimba. mbona mambo mengine anakataa kusema iweje hili la mimba ajitetee mapema hivyo? she can fool many people sometimes but not all people all the time. akajipange upya aje na majawabu mujarab. haya majawabu anayosema sasa hv yamedunda!
 
Huyu flora ingebidi aje humu jf awekwe kikaangoni live..tumchape maswali atujibu..Facebook uzushi uzushi tuu
 
Au mimba haimtaki Emmanuel ndio maana karudi, Eti Gwajima Anko wake,
Mjomba ni mkia wa komba ukiuchezea utakuchapaaaaaaaaaaa......................................!!!! yamekua hayo sasa..................!!!!
 
Eti uncle. Kwa hiyo mumewe alikua hajui kwamba yule alikua uncle wao? Uncle kawa ankaliii!
 
Anatuzuga kwa vile anajua hatuwezi kuipima hiyo Mimba ya Gwajima kwenye test ya DNA, ngoja photocopy ya Gwajima mzee wa chopa itoke tuone. Vipi kuhusu kununuliwa Prado na Gwajima amesemaje? Au ndio hizo anazoita ndoto zinatimia. Namuonea huruma sana Emma Mbwasha, Kama kuna mwana JF ana kile kibao cha "wanaume tumeumbwa mateso" akitupie hapa kiniburudishe na jamaa yangu Bujibuji

Acha umburura wewe . Ye kaeleza anayojua we una lazimisha ya kwako binadamu mkoje ?
 
Hana lolote.huo undugu na Gwanjima umeanza lin,leo ikawa siku ya pili
.
 
Nimecheka alipoandika anampenda Emanueli Mbasha ila anampenda Mungu zaid. Neno Mungu sikuizi limekuwa kama masihala
 
Hivi huyo dada baada ya mivutano yooote leo anakuja na hadithi ya mimba ya bro Emma kweli?Mungu alikupa karama sio ya kujitukuza kwa mambo ya kidunia na umaarufu m bovuuu!Usiwe sababu ya watu kuuchukia uokovu!!
 
Back
Top Bottom