Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Anatuzuga kwa vile anajua hatuwezi kuipima hiyo Mimba ya Gwajima kwenye test ya DNA, ngoja photocopy ya Gwajima mzee wa chopa itoke tuone. Vipi kuhusu kununuliwa Prado na Gwajima amesemaje? Au ndio hizo anazoita ndoto zinatimia. Namuonea huruma sana Emma Mbwasha, Kama kuna mwana JF ana kile kibao cha "wanaume tumeumbwa mateso" akitupie hapa kiniburudishe na jamaa yangu Bujibuji

Mkuu BAK please do the needful
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Baadae utasikia oooh unajua ile mimba haikuwa riziki so Mungu alichukua kiumbe chake kabla hakijaja duniani
 
Wote mnasema mnapendana,sasa kwanini hamrudiani?
 
Me nmekosea njia ngoja nitoke zngu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
"Nampenda sana Mbasha, ila nampenda Mungu zaidi"... Hii sentensi haijaniingia vizuri, hivi ameulizwa aseme anayempenda sana kati ya Mungu na mumewe? Kuna mtu anayempenda binadamu mwenzie zaidi kuliko Mungu???. Anyway me nawaombea tu wamalize tofauti zao na mumewe.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Jina la Mungu latumika ndivyo sivyo lakini Kuna mrejesho wake pia ..episode 5
 
"Nampenda sana Mbasha, ila nampenda Mungu zaidi"... Hii sentensi haijaniingia vizuri, hivi ameulizwa aseme anayempenda sana kati ya Mungu na mumewe? Kuna mtu anayempenda binadamu mwenzie zaidi kuliko Mungu???. Anyway me nawaombea tu wamalize tofauti zao na mumewe.
Maandiko kuhusu upendo yanatuambia; utampendaje baba wa mbinguni ambaye humuoni na kumchukia jirani yako ambaye upo naye? Hivyo unapompenda jirani/ndugu/ partner wako umempenda Mungu pia
 
Mpumbavu huyu mwanamke, watu gani wanaomtafuta na kwa lipi wakati malalamiko hayo yaliletwa hapa na kwenye magazeti na mumewake Emanuel Mbasha akimlilia Gwajima amwachie mke wake, kama alichotaka ni kutuambia kuwa ni mjamzito je hayo sio ya siri ya yeye na mumewe? swala lamimba ya nani kwa nini linamkosesha raha? Flora sistahili kukuhukumu manake na mimi ni mwenye dhambi lakini hebu tuache kumuaibisha kristo. Rudi magotini kaombe rehemu kwa uchafu huu na huo wa kumsababishia mtumishi wa mungu kashfa na kumuaibisha kristo. Wewe ulikengeuka pale ulipoanza kuwa kuwadi wa mamlaka kwa kwa watu wakubwa mungu hatukuziwi kwenye ofisi za wakina mengi na lowasa na mikutano ya faragha na viongozi wa serikali, sikiliza kwa makini nini anachoongea TB Joshua ingekua viongozi basi yeye angekua akihama toka ikule moja mpaka nyingine, umekosa tafuta amabi na muumba wako acha kutupotezea huko.
 
ndugu gani mumeo hamjui? Alikuwa anaimba kwenye mikutano ya injiri ya gwajima pale morogoro tena kwa malipo. Leo kawa anko?

loh kama ni kaziyake asilipwe mpwa

kazi aina ndugu
 
flora dadangu unachemka huku kuni unazichochea mwenyewe, kihelehele kilichokutuma globala tv wakat mumeo akiwa ndani ni kitu gani? halafu leo unasema watu wamejipanga kukuchafua, magazet utasema wameandika na mahojiano yale ya live nayenyewe waliweka mtu siyo wewe..!

huo ujomba wako na Gwajima unaweza kutueleza umetoka wapi usiojulikana lwa ndugu wa gwajima wala kwa mumeo..!

acha kuwafanya watu wazima watoto umerikoroga na unaendelea kulikoroga..!

ingekuwa hali ya kawaida mbasha asingekiwa wa kulalamila kiasi, nabasha alivowaanika uozo wenu ndo mkajifanya kumuweka chini myamalize vinginevyo mlishashupaza shingo zenu

humtaki mbasha sema sio unatutesea kaka yetu, na unabahat anamuogopa Mungu wake, tungekutia akili
 
ukiona manyoya ujue kaliwA hawa viumbe hawAminiki kabisa ndio maana biblia inasema ishini nao kwa akili kaona hana kwa kuipeleka kaamua kumsakizia mumewe sasa ni mungu gani anaemtumikia
 
Maandiko kuhusu upendo yanatuambia; utampendaje baba wa mbinguni ambaye humuoni na kumchukia jirani yako ambaye upo naye? Hivyo unapompenda jirani/ndugu/ partner wako umempenda Mungu pia

Lakini huwezi kumpenda binadamu kama unavyompenda Mungu na hakuna mtu atakayekupenda sawa na upendo anaotupenda Mungu. Mungu ni zaidi
 
Ivi huo ufafanuzi unautoa ili iweje maana ni kama unajitetea.
Na principally unapokuwa defensive mara nyingi issue huwa ina ukweli.
Jaribu kuwa mkweli maana mtoto atakuja kukuumbua na pia siku izi kuna DNA
 
Back
Top Bottom