Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

Mimba aliipata lini. Akiwa kwa mbasha au. Kama ni akiwa na Mbasha basi inaweza kuwa ndicho chanzo cha kutoelewana. Mimba nyingine ni balaa. Ila DNA ichukue.mkondo.
 
Maandiko kuhusu upendo yanatuambia; utampendaje baba wa mbinguni ambaye humuoni na kumchukia jirani yako ambaye upo naye? Hivyo unapompenda jirani/ndugu/ partner wako umempenda Mungu pia

Kwahiyo ndio uliambiwa umpende huyo jirani yako zaidi ya Mungu?
 
Mimba aliipata lini. Akiwa kwa mbasha au. Kama ni akiwa na Mbasha basi inaweza kuwa ndicho chanzo cha kutoelewana. Mimba nyingine ni balaa. Ila DNA ichukue.mkondo.

Wewe acha hizo sio kwakiwango chakuachana kabisa mpaka mnapeana vyesi ....mimba huwa mtu anakuwa mkali basi lakini sio kukimbia mji na kulala lodge.
 
SIKU chache baada ya minon'gono kuibuka chini chini kuwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini Tanzania ambaye pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha, kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima ameibuka na kukanusha madai hayo.

Akijibu maswali ya mashabiki wake wakati akichati moja kwa moja 'live' kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa Sita kamili amesema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambaye ni ndugu yake hivyo Mchungaji Gwajima ni mjomba wake na si mpenzi wake kama ambavyo watu wamekuwa wakizungumzia suala hilo kwa kile alichodai ni baadhi ya watu wanaotaka kumchafulia jina na hadhi aliyo nayo.
kumshushia hadhi."Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji.

Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni uncle wangu ninawezaje kuwa na mahusiano na uncle wangu..? "Alihoji Flora.

attachment.php

Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Florah Mbasha, akichat Live leo katika ukurasa wa Facebook wa EATV.

Akijibu maswali ya mashabiki wake ambao wengi wao wakimtaka aeleze ukweli juu ya ugomvi uliopo kati yake na Mumewe au ni skendo tu za magazeti, ambapo aliweka wazi kuwa kuna vyombo vya habari ambavyo vimekuwa na lengo la kumchafua na kumualibia sifa ndio maana walitumia gharama kubwa kufanya wanavyoweza ili kutimiza malengo yao,mbasha amedai kuwa alimua kukaa kimya kwa kuwa hakukuwa na ukweli wowote.

"Hizo stori mnazosikia hazina ukweli wowote na ndio maana niliamua kukaa kimya sikutaka kujibizana kwenye vyombo vya habari kwa uongo wa baadhi ya magazeti ya udaku ila ninasikitika sana kwani kuna watu wamekaa na kujipanga kisawa sawa kwa ajili ya kuhakikisha wanaharibu huduma yangu kwa gharama zozote, lakini bado ninasonga mbele kwani mwanzilishi wa huduma yangu ni Mungu na huyo ndiye atakayeimaliza na sio mwanadamu. hata hivyo ninawashukuru kwa kuwa wamenitabilia nkuja kumiliki jumba na magari ya kifahari ingawa yote ni ubatili"

Adai hajaachana na Mbasha

Flora Mbasha amesema kuwa watu wengi wanasema kuwa ameachana na Mumewe kisa Gwajima hilo swala halina ukweli wowote hajaachana na Mbasha sababu ya Gwajima na amedai kuwa bado anampenda sana ila anampenda Mungu zaidi.

bali amekuwa na matatizo katika ndoa yake kati yake na mumewe na ni matatizo yao ya ndani ambayo asingependa kuyaweka wazi katika vyombo vya habari maana kufanya hivyo ni sawa na kumvunjia heshima mumewe,maana mambo ya chumbani ni siri yao wenyewe asingependa kuwa wazi sababu wanamtoto mkubwa sasa.

"Sijamwacha mume wangu sababu ya Gwajima na kweli bado napenda sana Mbasha lakini nampenda zaidi Mungu"

Wakati anazungumzia suala hili Flora ameweka wazi kuwa kwa sasa ni mjamzito na ujauzito huo ni wa Mume wake ambaye ni Emmanuel Mbasha, maana ameishi naye katika ndoa zaidi ya miaka kumi na katika kipindi chote hicho hajawahi hata siku moja kumsaliti Mumewe.
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Hayo uliyaandika yako tunachoshukuru ni kutufukulia kaburi.
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Kwa hiyo wewe unamuunga mkono au kumpinga kwa kuangalia anatoka chama gani na si kuangalia ukweli ni upi? Mimi ni mtu mdogo sana sistahili hata kufungua gidamu za viatu vyako mkuu ila kwa hapa nadiriki kusema kama wewe ndio aina ya wanahabari tulionao basi we are finished
 
Mmh pascal bhana haya.
 
[emoji23][emoji850][emoji135]

JESUS IS LORD[emoji120]
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P

dingi umepaninki

kwa mujibu wa katiba ni haki yako kumuunga mkono

pia ww kumuunga mkono hakuondoi ukweli kuwa alicheza x,ama aliahidi kugeuza madrasa kuwa sunday school..

na pia hajawahi kufufua...hata panya sembuse ntu[/QUOTE]
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Asante kada mwenzangu!
Nami nilikuwa namponda sana Gwaji Boy lakini sasa amekuwa kada mwenzetu, tunasameheana .
Ameonekana ana political capital.
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Mrejesho vipi, mwaka wa sita Sasa.

Uyo Mtoto anafanana na gwajima au mbasha
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Kumbe na wewe na akili zako zote umechagua kujiunga na kikundi cha banyamulenge
 
Kwa hiyo wewe unamuunga mkono au kumpinga kwa kuangalia anatoka chama gani na si kuangalia ukweli ni upi? Mimi ni mtu mdogo sana sistahili hata kufungua gidamu za viatu vyako mkuu ila kwa hapa nadiriki kusema kama wewe ndio aina ya wanahabari tulionao basi we are finished
Tena you are finished completely.
 
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
Hamna lolote ukabila mnaoendeleza tunaujua
 
Wanabodi yeyote mnaemjua ambae amefufuliwa na gwajiboi naomba mawasiliano nae.
 
CCM walitaka nini walipomteua Gwajima kugombea ubunge? Kwani ni lazima kila kundi liwakilishwe? Wasanii wamewakilishwa zaidi ya mahitaji, maana hata huyu naamini ni msanii tu!
 
Back
Top Bottom