Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

warumii naona Jide balaa anaendelea na kipindii,cha bibi bomba liniii???
 
Last edited by a moderator:
Loioiiiii makubwaaaaaa nipe umbeaaaaa miee soko letu bado la mzikii

Ajenge na yeye mgahawa kama jide akitulize wawe wanacheza ngololo na ma dancer wake ajiingizie vijisent, maana ndomo anavyopenda safar za nje hawachekani na baba mwafulani
 
warumii naona Jide balaa anaendelea na kipindii,cha bibi bomba liniii???

We unamfananisha huyo bibi bomba na jide? Jide matawi mengine anadhaminiwa na makapuni makubwa yenye mpunga wa maana, sasa bibi bomba atamdhamini nani?? Bwana ake mwenyew chai jaba kampotezea kama hamjui, sasa limebak halijielewi na shoga ake cheusi dawa.
 
Hahhhha lo sina mbavuuuuuu
 
Mbasha amehatarisha maisha yake kwa kutoa siri za watu then anaridi tena very dangerous
 
Huyo mwanaume wa kulisha mpaka mwisho wa dunia, hai=onekani kama anaweza tafuta hata elfu moja kwa siku? anakula sura yake tu afanyeje?????
 
We unamfananisha huyo bibi bomba na jide? Jide matawi mengine anadhaminiwa na makapuni makubwa yenye mpunga wa maana, sasa bibi bomba atamdhamini nani?? Bwana ake mwenyew chai jaba kampotezea kama hamjui, sasa limebak halijielewi na shoga ake cheusi dawa.

Ha ha ha ni shiida umenifurahisha aisee bibi bomba a.k.a mama ubaya
 
sio kua tanzania kuna magazeti ya udaku tu, ila hata watanzania wengi wadaku pia, mi nilikua naona mi thread mikubwa humu, fulani katembea na fulani, utafikiri waliwapiga picha wakati wa tukio hama wana kithibitisho fulani cha wazi, mbaya zaidi wengine wakapost picha ya lidada limejazia wakidai ndio mbakwa kumbe kuja kujua mbakwa ni kabinti kadogoo wala sio picha waliyochopost humu,sasa nikajiuliza mtu anapo post huwa anapost tu awe ka post au? Wengine from nowhere eti oooh aliyebakwa ni yule aliyegiza porn na ngasa mmh hapo ndio nikaona tuna mixiana tu humu. Basi tusiwe wajinga wakubeba kila tunalolisikia. Kama ujui kitu nyamaza tu, sasa kama ni kweli wamerudiana basi aibu ni kwa waongeaji/wadaku wa nje ya ndoa yao. Ki ukweli yameongewa mengi ktk hii movie ila waongeaji hawajui wht was behind the scene kama nasi tusivyojua pia
kweli wewe ni mr. Wise nimekupendaje bure
 
Back
Top Bottom