Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubwa la wambea Tz nzima lazima tukuweke kwenye Hall of fame kama Diamond.
Mahaba Niunguzeee
warumii naona Jide balaa anaendelea na kipindii,cha bibi bomba liniii???
Aah ushaniudh na wewe mi nakuita toka hasubuhi unajishaua, mpka ubuyu ushapoa
We unamfananisha huyo bibi bomba na jide? Jide matawi mengine anadhaminiwa na makapuni makubwa yenye mpunga wa maana, sasa bibi bomba atamdhamini nani?? Bwana ake mwenyew chai jaba kampotezea kama hamjui, sasa limebak halijielewi na shoga ake cheusi dawa.
Mahaba Niunguzeee
We unamfananisha huyo bibi bomba na jide? Jide matawi mengine anadhaminiwa na makapuni makubwa yenye mpunga wa maana, sasa bibi bomba atamdhamini nani?? Bwana ake mwenyew chai jaba kampotezea kama hamjui, sasa limebak halijielewi na shoga ake cheusi dawa.
kweli wewe ni mr. Wise nimekupendaje buresio kua tanzania kuna magazeti ya udaku tu, ila hata watanzania wengi wadaku pia, mi nilikua naona mi thread mikubwa humu, fulani katembea na fulani, utafikiri waliwapiga picha wakati wa tukio hama wana kithibitisho fulani cha wazi, mbaya zaidi wengine wakapost picha ya lidada limejazia wakidai ndio mbakwa kumbe kuja kujua mbakwa ni kabinti kadogoo wala sio picha waliyochopost humu,sasa nikajiuliza mtu anapo post huwa anapost tu awe ka post au? Wengine from nowhere eti oooh aliyebakwa ni yule aliyegiza porn na ngasa mmh hapo ndio nikaona tuna mixiana tu humu. Basi tusiwe wajinga wakubeba kila tunalolisikia. Kama ujui kitu nyamaza tu, sasa kama ni kweli wamerudiana basi aibu ni kwa waongeaji/wadaku wa nje ya ndoa yao. Ki ukweli yameongewa mengi ktk hii movie ila waongeaji hawajui wht was behind the scene kama nasi tusivyojua pia