Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Salaam wananchi,

Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa.

Vipi ataweza ama atazingua?

1686664170318.png
 
Salaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kua kocha maaru Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia south africa.
Vipi ataweza ama atazingua?

View attachment 2656220
Huyu Ibenge ni miongoni mwa makocha wakubwa kabisa Barani Afrika. Na hakuna ubishi katika hili.

Na kwa aina ya kikosi cha Yanga ambacho kimesheheni wachezaji wa zamani wa timu yake ya As Vita; basi moto wa Yanga utakuwa mkali mara dufu.
 
Shida mikataba ya kuunga unga...kocha anaondoka akiwa free agent timu haifaidik na chochote.....Tatizo watu wanaishi kwa ktegemea timu kama wachezaji bana
Ninavyo fahamu mimi, Kocha Nabi ana mkataba na Yanga mpaka mwakani (2024). Ni baadhi tu ya wasaidizi wake ndiyo mikataba yao inaisha msimu huu.

Hivyo kama ataondoka, basi yatakiwa ni makubaliano ya pande mbili. Na kwa mafanikio aliyoiletea Yanga ndani ya hii misimu miwili, binafsi naona anastahili kabisa kwenda kutafuta changamoto mpya mahali pengine.
 
Ibenge ana jina kubwa Sana ila uwezo wake ni mdogo Sana. Nabi ndiye kocha wa kwanza kuondoka Tanzania 🇹🇿 Kila mmoja akikiri uwezo wake mkubwa. Ameondoka mwenyewe hajafukuzwa , ameondoka mwenyewe akiwa hanaugonvi na timu pinzani. Anaondoka mwenyewe Kila Mtanzania anampenda
 
Salaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kua kocha maaru Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia south africa.
Vipi ataweza ama atazingua?

View attachment 2656220
bora ya micho,hamna kocha hapa kumpa bichwa tu
 
Ibenge ana jina kubwa Sana ila uwezo wake ni mdogo Sana. Nabi ndiye kocha wa kwanza kuondoka Tanzania [emoji1241] Kila mmoja akikiri uwezo wake mkubwa. Ameondoka mwenyewe hajafukuzwa , ameondoka mwenyewe akiwa hanaugonvi na timu pinzani. Anaondoka mwenyewe Kila Mtanzania anampenda
Sure kabisa.
 
Back
Top Bottom