Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Timu za bongo zijifunze kuweka mzigo wa maana kuwalinda makocha wanaoonesha uwezo!

Nabi angetulia hata misimu minne zaidi.
Inawezekana kwa Nabi haya ndiyo mafanikio yake ya juu na mpira ni kama bahati nasibu, ameshatangaza jina ni bora akatafute timu nyingine la sivyo anaweza hasije kuyafikia haya mafanikio.

Akija kocha mwingine naamini Yanga itaweza kufanya vizuri zaidi ya ilichokifanya mwaka huu.
 
Mmmh! hadai hata mia, mie hoja yangu ni kwamba Nabi akiondoka ni kwa vile tutakuwa tumeshindwa kumlipa kile anachofikilia anasitahili, sasa kama kwake tumeshindwa, je kwa Ibenge tutaweza?
Mkuu kocha kuondoka sio kwamba tumeshindwa kumlipa, Pep aliondoka Barca na Bayern Munich sio kwasababu ya malipo ni maamuzi tu ya kutafuta changamoto mpya
 
Yanga watafute kocha mwenye akili, waweke fungu kubwa mezani makocha wapo wengi

Ibenge sioni kama ni chaguo sahihi
 
Inawezekana kwa Nabi haya ndiyo mafanikio yake ya juu na mpira ni kama bahati nasibu, ameshatangaza jina ni bora akatafute timu nyingine la sivyo anaweza hasije kuyafikia haya mafanikio.

Akija kocha mwingine naamini Yanga itaweza kufanya vizuri zaidi ya ilichokifanya mwaka huu.
Hapana
2012 alishinda caf confederation cup akiwa na Ac leopard ya Kongo
 
Hapana
2012 alishinda caf confederation cup akiwa na Ac leopard ya Kongo
Kwenye app ya Transfer Markt mkataba wake ni mpaka June 2024

Screenshot_20230613-222955_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom