Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh huyu profesa wenu ndiyo ana rekodi za hovyo hivi? Ukiacha Yanga, kila sehemu nyingine aliyopita alikuwa anatimuliwa ndani ya miezi 6.
Mkataba wa Nabi ulikuwa imara haukuwa wa kuungaunga na sidhani kama anaondoka akiwa free agent. Tatizo ni pesa; baada ya kuiweka Yanga mahala pazuri na yeye mwenyewe kujijengea jina kubwa alitaka pesa ndefu kidogo na nimesoma sehemu kuwa zaidi ya Kaizer Chiefs, hata TP Mazembe nao wameshamnyemelea na kuna timu moja kutoka kwao Tunisia nayo ilishamnyemelea. Hao wanaomnyemelea nadhani wamekuja na dau kubwa zaidi ya Yanga.Shida mikataba ya kuunga unga...kocha anaondoka akiwa free agent timu haifaidik na chochote.....Tatizo watu wanaishi kwa ktegemea timu kama wachezaji bana
Kweli kabisa..Ibenge analipwa dola 54,000 kwa mwezi, approximately TZS 120,000,000 kwa mweziTushindwe kumlipa Nabi tuweze kwa Ibenge? Vitu vingine havina maana kutupanga
Micho huyu huyu aliyewahi fundisha yanga bila mafanikio au ulikuwa hajazaliwa wakati akifundisha Yanga?bora ya micho,hamna kocha hapa kumpa bichwa tu
Hao Orlando pia wanamtaka micro kumrudishaKama NABI atandoka nina uhakika MICHO ndio atakuwa kocha wa Yanga.
Halafu tukamuuza kwa sahani ya pilau la ikulupesa hatuna! Si umeona hata Fei tulikuwa tumlisha Ugali kwa Sukari
Endelea kuotaSalaam wananchi,
Tetesi Zilizonifikia ni kuwa kocha maarufu Florent Ibenge, ambaye ashawahi ikoach RS Berkane na Al Hilal ndio mbadala wa kocha Nasredeen Nabi ambaye anatimkia South Africa.
Vipi ataweza ama atazingua?
View attachment 2656220
Jamaa amka usingizin labda ibenga wa IHEFUHuyu Ibenge ni miongoni mwa makocha wakubwa kabisa Barani Afrika. Na hakuna ubishi katika hili.
Na kwa aina ya kikosi cha Yanga ambacho kimesheheni wachezaji wa zamani wa timu yake ya As Vita; basi moto wa Yanga utakuwa mkali mara dufu.
Wewe unamini kwamba yanga inashindwa kumlipa naby?Tushindwe kumlipa Nabi tuweze kwa Ibenge? Vitu vingine havina maana kutupanga
Cv yake ni kubwa amefanikiwa pakubwa Kwenye ukocha wakeKakutana na simba mara 6 na timu mbili tofauti . kashinda 2 kakandwa 4. Mtamkana mapema tu.
Kuna issue ya kocha mwenyewe kutamani kuondoka bila kujalisha mmemuwekea mzigo mkubwa kiasi gani. Kwa hali ilivyo, kama Nabi akiondoka basi itakuwa ni kwa matakwa yake na si maslahi ya pesa.Timu za bongo zijifunze kuweka mzigo wa maana kuwalinda makocha wanaoonesha uwezo!
Nabi angetulia hata misimu minne zaidi.
Huu ndiyo ukweli, Ibenge hana soka lenye mvuto.Timu zinazo fundishwa na huyu kocha huwa zinacheza mpira usiovutia kabisa.
Hahaaaaaa, msamehe bwana.Mkuu unatafuta ligi ya matusi na mimi?
Utaiweza?
Micho ni wakala wa wachezaji siyo kocha.bora ya micho,hamna kocha hapa kumpa bichwa tu
kivipi,wakati anafundisha timu ya taifa uganda na alishawahi kuwa kocha wa yangaMicho ni wakala wa wachezaji siyo kocha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo idenge wenu akija Yanga me naacha kuishabikia mpaka aondoke, kocha msenge sana huyo.
Na hata Mayele akiwa mjanja asepee muda huu akiwa wa motoo hivi, akija ku float atashangaa jinsi watakavyo mgeuka, amuone aziz kii alikua ufunguo wa team, ila wameshamchoka na kumkinaii.nabi kaona upepo utabadilika alaf utopolo anawajua roho ya uvumilivu hawana.sasa bora aondoke wamoto moto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa amka usingizin labda ibenga wa IHEFU