Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Tetesi: Florent Ibenge karibu Jangwani

Shida mikataba ya kuunga unga...kocha anaondoka akiwa free agent timu haifaidik na chochote.....Tatizo watu wanaishi kwa ktegemea timu kama wachezaji bana
Mkataba wa Nabi ulikuwa imara haukuwa wa kuungaunga na sidhani kama anaondoka akiwa free agent. Tatizo ni pesa; baada ya kuiweka Yanga mahala pazuri na yeye mwenyewe kujijengea jina kubwa alitaka pesa ndefu kidogo na nimesoma sehemu kuwa zaidi ya Kaizer Chiefs, hata TP Mazembe nao wameshamnyemelea na kuna timu moja kutoka kwao Tunisia nayo ilishamnyemelea. Hao wanaomnyemelea nadhani wamekuja na dau kubwa zaidi ya Yanga.

Mikataba ya muda mrefu pia huwa na matatazio yake kwani akishindwa kuperform timu inalazimika kuingia gharama za kuachana na naye. Kwa misimu ya miaka miwili katika mktaba wa kwanza ni jambo zuri sana, baada ya kuonyesha performance, mkataba wa pili ndio ulitakiwa uwe mrefu kidogo labda miaka minne hivi
 
Huyu Ibenge ni miongoni mwa makocha wakubwa kabisa Barani Afrika. Na hakuna ubishi katika hili.

Na kwa aina ya kikosi cha Yanga ambacho kimesheheni wachezaji wa zamani wa timu yake ya As Vita; basi moto wa Yanga utakuwa mkali mara dufu.
Jamaa amka usingizin labda ibenga wa IHEFU
 
Timu za bongo zijifunze kuweka mzigo wa maana kuwalinda makocha wanaoonesha uwezo!

Nabi angetulia hata misimu minne zaidi.
Kuna issue ya kocha mwenyewe kutamani kuondoka bila kujalisha mmemuwekea mzigo mkubwa kiasi gani. Kwa hali ilivyo, kama Nabi akiondoka basi itakuwa ni kwa matakwa yake na si maslahi ya pesa.
Kuna wakati makocha huondoka ili kulinda image zao kutokana na makubwa waliyoifanyia club husika.
 
nabi kaona upepo utabadilika alaf utopolo anawajua roho ya uvumilivu hawana.sasa bora aondoke wamoto moto
Na hata Mayele akiwa mjanja asepee muda huu akiwa wa motoo hivi, akija ku float atashangaa jinsi watakavyo mgeuka, amuone aziz kii alikua ufunguo wa team, ila wameshamchoka na kumkinaii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom