Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.
 
Huyu bwana ni kama hata ushindi wake hua ni wa kimkakati hivi.ana ushindi wa kupangiwa akiwa kwenye pambano.ukitazama jinsi hua anapigana wala huwezi vutiwa nae au huwezi ona kama kweli ni mshindi wa pambano,huwezi mlinganisha na mtu kama Tyson,Mohamed Ali au mwingine ambae ni tishio anaitwa Antony Joshua.huyu Antony ukimtazama mapambano yake unaona hata angepambana na Tyson basi Tyson angefanya kazi sana kumshinda.lakini huyu Floyd Myweather ni mfano wa kina Matumla tu.ni kama aliingia mkataba na wapiga dili wa huko ulaya na utakuta pesa hizo zisiwe zake zote
 
Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.

Basi itakua ulitupa jirani na Nyumba ya Floyd akaamua kuyachukua.![emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Basi itakua ulitupa jirani na Nyumba ya Floyd akaamua kuyachukua.![emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha, umezibuka.

Hayo makochi yalinipa ujiko sana.Kuna mtoto mmoja wa Berkeley alikuwa anahusudu sana picha zangu nimekaa kwenye makochi hayo. Siku hizo yalivyokuwa kwenye fashion.

Halafu nikaonekana mtanashati ninayeweza kuwa na makochimeupe bilakuyachafua.

Hii fall rangi inayotawalani burgundy, nimebadilisha. Floyd ana hela lakini fashion hajajua bado.

Nimeshangaa mpaka Mrisho Gambo amejua rangiiliyo in sasa hivi, lakini Floyd hajajua.

 
Hiyo inaitwa juhudi ya mkaa ,unachomwa porini ukija mjini unapigwa moto tena kuivisha chakula!
 
Thinking on everything is possible.. But making everything possible is impossible!!

Ukitaka kujua everything is not possible try to do everything uone kama is it possible!!!

Then rudi hapa urudie kusema everything is possible!!!?
 
Kula like kwanza .

Halafu ngoja nianze kusoma ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…