Floyd Mayweather ajipongeza kwa ushindi

Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.
Aise hongera mno...
 
Picha ya huyu inafanya nini huku aise tuko beverly hills aisee ..tunazungumzia pesa aiseee...
 
Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.

Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.

For real.
Mkuu kiranga we endelea kumpinga Mungu tu ndio vitu unavyoviweza hivi vingine sio saizi yako.
 
Ficha ujinga wako.

Hakuna boxer yoyote mwenye skills za boxing anayemfikia Floyd Mayweather.

Hao ma heavyweights kinachowasaidia ni kwamba Ngumi zao nzito tu basi.

Na upande wa heavyweight mkali wao ni Rocky Marciano hao wengine wanapewa promo tu.
 
Huoni haya.

Eti unajifananisha kujua fashion kuliko Floyd.

Nadhani ww unamjua Floyd wa ulingoni tu Floyd wa nje ya ulingo humfahamu hata kidogo.
 
Huoni haya.

Eti unajifananisha kujua fashion kuliko Floyd.

Nadhani ww unamjua Floyd wa ulingoni tu Floyd wa nje ya ulingo humfahamu hata kidogo.
Aise wangejua ...kuna vingine tukiweka hapa watasema ni UONGO ...jamaa anakuambia kwamba yeye anafanya hivyo sababu anaonesha maisha yake halisi anayoishi, wengine wenye pesa wanafiki ukimuuliza hali vipi anakuambia mambo.magumu aise mambo yamekaza
 
Ukikazana sana sana umeshinda biko au tatu mzuka ..dah...ukipanda juu zaid unaitwa mpiga dili unafunguliwa mashtaka
Ha ha ha ha.

Si bora ufunguliwe mashtaka.

Wanakujia watu wasio julikana kufanya yao.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu kiranga we endelea kumpinga Mungu tu ndio vitu unavyoviweza hivi vingine sio saizi yako.
We unanitaka nitukane nipigwe ban sasa, Kiranga unacho wewe kuita watu majina si yao.

Mimi nimeongelea fashion, si fedha.

Unaweza kuwa na fedha zote duniani na usijue fashion, na mwenye fedha ndogo akajua fashion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…