Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Usiwaze sana mkuu utaambiwa unakufuruDaaah huku duniani sijui wengine tunafanya nini...🙁🙁🙁🙁🙁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwaze sana mkuu utaambiwa unakufuruDaaah huku duniani sijui wengine tunafanya nini...🙁🙁🙁🙁🙁
Aise hongera mno...Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.
Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.
For real.
hizo ngonjera tu za kutiana moyo.Kila kitu ni possible mkuu chini ya hili jua..
[emoji5][emoji5]
[emoji23][emoji23] kwanini mkuu zanzibar?!
!
Ningekuwa ndio mimi ningeinunua Zanzibar yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watakuja wale wenzangu na mimi na comments zao utasikia "duniani tunapita maisha ni mbinguni" "Mali bila Yesu ni bure"
Ha ha ha ha .Ni kweli ndugu yangu, lakini ukiangalia maisha ya watu wengine unajiuliza tu wapo dunia hii hii au???
Picha ya huyu inafanya nini huku aise tuko beverly hills aisee ..tunazungumzia pesa aiseee...Hahaha, umezibuka.
Hayo makochi yalinipa ujiko sana.Kuna mtoto mmoja wa Berkeley alikuwa anahusudu sana picha zangu nimekaa kwenye makochi hayo. Siku hizo yalivyokuwa kwenye fashion.
Halafu nikaonekana mtanashati ninayeweza kuwa na makochimeupe bilakuyachafua.
Hii fall rangi inayotawalani burgundy, nimebadilisha. Floyd ana hela lakini fashion hajajua bado.
Nimeshangaa mpaka Mrisho Gambo amejua rangiiliyo in sasa hivi, lakini Floyd hajajua.
![]()
Mkuu kiranga we endelea kumpinga Mungu tu ndio vitu unavyoviweza hivi vingine sio saizi yako.Nilikuwa na makochi yanaonekana kama hizo seats nyeupe picha ya pili, nimeyatupa miezi michache iliyopita kuendana na fashion mpya.
Floyd Mayweather nimempita katika fashion, anatumia fashion nilizotupa miezi michache iliyopita.
For real.
Cc DrakeTo be alive does not mean you are living.
Everyone dies but not everyone lives.
Hahaha acha kabisaThe word is not fair
Eti nchi inataka kuwa Donor country tuanze kuwapa misaada USA UK na kwingneko
Nafikiri sizonje alikuwa anamaanisha dona na sembe country
Ficha ujinga wako.Huyu bwana ni kama hata ushindi wake hua ni wa kimkakati hivi.ana ushindi wa kupangiwa akiwa kwenye pambano.ukitazama jinsi hua anapigana wala huwezi vutiwa nae au huwezi ona kama kweli ni mshindi wa pambano,huwezi mlinganisha na mtu kama Tyson,Mohamed Ali au mwingine ambae ni tishio anaitwa Antony Joshua.huyu Antony ukimtazama mapambano yake unaona hata angepambana na Tyson basi Tyson angefanya kazi sana kumshinda.lakini huyu Floyd Myweather ni mfano wa kina Matumla tu.ni kama aliingia mkataba na wapiga dili wa huko ulaya na utakuta pesa hizo zisiwe zake zote
Huoni haya.Hahaha, umezibuka.
Hayo makochi yalinipa ujiko sana.Kuna mtoto mmoja wa Berkeley alikuwa anahusudu sana picha zangu nimekaa kwenye makochi hayo. Siku hizo yalivyokuwa kwenye fashion.
Halafu nikaonekana mtanashati ninayeweza kuwa na makochimeupe bilakuyachafua.
Hii fall rangi inayotawalani burgundy, nimebadilisha. Floyd ana hela lakini fashion hajajua bado.
Nimeshangaa mpaka Mrisho Gambo amejua rangiiliyo in sasa hivi, lakini Floyd hajajua.
![]()
Pesa zingine ameenda kuboreshea Kasino lake.Mwaka huu hajaongeza ndege na magari? Hance Mtanashati
Ukikazana sana sana umeshinda biko au tatu mzuka ..dah...ukipanda juu zaid unaitwa mpiga dili unafunguliwa mashtakahizo ngonjera tu za kutiana moyo.
Utafanya kazi weeeeee utaishia kupata vilaki laki au ukipiga hatua sana unagusa vimilioni kadhaa basi.
Huwezi kufika alipofika jamaa.
Hajielewi huyu....kaza umpite na 'fasheni' ya huo mjengo pia
Aise wangejua ...kuna vingine tukiweka hapa watasema ni UONGO ...jamaa anakuambia kwamba yeye anafanya hivyo sababu anaonesha maisha yake halisi anayoishi, wengine wenye pesa wanafiki ukimuuliza hali vipi anakuambia mambo.magumu aise mambo yamekazaHuoni haya.
Eti unajifananisha kujua fashion kuliko Floyd.
Nadhani ww unamjua Floyd wa ulingoni tu Floyd wa nje ya ulingo humfahamu hata kidogo.
Mazee unajua kusoma?Picha ya huyu inafanya nini huku aise tuko beverly hills aisee ..tunazungumzia pesa aiseee...
Ha ha ha ha.Ukikazana sana sana umeshinda biko au tatu mzuka ..dah...ukipanda juu zaid unaitwa mpiga dili unafunguliwa mashtaka
We unanitaka nitukane nipigwe ban sasa, Kiranga unacho wewe kuita watu majina si yao.Mkuu kiranga we endelea kumpinga Mungu tu ndio vitu unavyoviweza hivi vingine sio saizi yako.