kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Sijawahi kumpenda lenox Lewis ila kipindi chake aliwadunda hao kina evander na wenzake mpaka akastaafu kwa kukosa mpinzani..sasa kwenye list simuoni sasa huo kama sio ubwege kitu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezaliwa 2000 Ali atakuvutia vipi?Nakubaliana na wewe, mimi Ally hawajawahi kunivutia, sijaona kama alikua special kwenye Ngumi. Media attention na ile uanaharakati ndio uliompa jina ila hakua mzuri kabisa. Enzi zake kulikua na watu wazuri sana kina Smoking Joe, Joe Frazier nk. Labda ubora wa kukwepa makonde.
Mimi kwangu Tyson angekua namba moja. Money nae hana kitu zaidi ya media attention ila sio mbaya.
Unaposema kukosa upinzani unamaanisha nini?Sijawahi kumpenda lenox Lewis ila kipindi chake aliwadunda hao kina evander na wenzake mpaka akastaafu kwa kukosa mpinzani..sasa kwenye list simuoni sasa huo kama sio ubwege kitu gani
Za kina Hamissa, wema nkUmenizoea kwenye nyuzi zipi mkuu?
Mkuu hii list yake ni Fake kabisaEti ???
Kwanza Floyd anapigana Middle weight wakati Ali alikuwa anapigana Heavy Weight huoni kama anafanya comparison ya vitu visivyoendana,
Angefanya comparison ya Mike Tyson na Mohamed Ali tungemuelewa kidogo sababu hao wote walikuwa wanazipiga ndondi za uzito wa juu
Cha kushangaza Mike Tyson hayupo kwenye hiyo list
Unapozungumzia boxing usipowataja Tyson na Mohamed Ali ni sawa unapozungumzia boli bila ya Pele na Maradona
Huwezi kuchanganya light weight na heavy weight, licha ya hayo Mike Tyson anakosekanaje hata top 20.Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.
Kwa muda mrefu Muhammad Ally ndiye alikuwa akipewa title ya GOT kwenye boxing lakini binafsi nilikuwa sikubaliani kabisa na hiyo title kupewa Muhammad Ally badala yake hiyo title nilikuwa naona kabisa inamfaa Floyd bila kupepesa macho au kumumunya maneno maana hakuna chochote alichokuwa nacho Ally kumzidi Floyd zaidi ya upendeleo tu.
Sasa hatimaye watafiti wamekaa chini na kuchambua vilivyo mabondia na kuja na listi hii inayoonesha mabondia bora wa muda wote na nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Floyd Mayweather na kuwaacha mbali wapinzani wake akiwemo Canelo Alvarez ambaye hayumo hata 50 bora.
View attachment 1180301
hili pambano nilipolitazama nilibadili msimamo wangu na kumuweka ali juuya tyson,ali anapigana vizuri mpaka rahaWanalinganisha watu waliokuwa wakicheza round 15 na hawa round 12,Mohamed Ali fundi yule jamaa,katafute pambano la Thrila in Manila alilopigana na Joe Fraizer au lile alilopigana na George Foreman Kinshasha hapo.
huyo aandike habari za mondi na esma tuHapa ukipinga utabishana na hance mpk kuchwili.....
Ova
Swali la hovyo kabisa. Kichwa umepewa kuvukia barabara tu?Umezaliwa 2000 Ali atakuvutia vipi?
umepanic,hicho kimeiweza chenu mkilinganishe na ali au mnyama tyson!!?....2000 hadi leo una miaka 19Swali la hovyo kabisa. Kichwa umepewa kuvukia barabara tu?
Nimeshangaa kukikosa hiki kifaa. Pia kuna kina Evander Holyfield, Lenox Lewis et elTyson vp?
Bondia asiyepigika Floyd Sinclair Joy Money Mayweather Junior azidi kupaa tu kila kukicha japo ma haters nao hawakosekani.