BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Jaman embu muangalieni tu...
Hizo hela na bado zinaingia kila mwezi ....daah..haya.
Hizo hela na bado zinaingia kila mwezi ....daah..haya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...ndo mana anadata...hata mimi ningedata...asee...ana bugati 2 saiv gar zinazotengenezwa kwa order.zitakuwa zina mchanganya akili hajui afanyie nini
juzi kati alichoma moto pesaHahaha...ndo mana anadata...hata mimi ningedata...asee...ana bugati 2 saiv gar zinazotengenezwa kwa order.
Mayweather huyo jaman....he is going crazy...those are diamonds jaman...
Ila watu kama hawa hata kukupa dola elfu moja hawezi nashindwaga kuwaelewa watu wenye pesa. Kama juz alichoma hela hadharani....saivi yuko visiwan huko anaafanya racing sports kwenye maji..
Meza kamaa yako hapo ndan ndugu unayesoma imepangwa hela bunda kote na ni bunda zimeshiba..daah..
Sasa ni kidogo hizo mkuu...kibongo bongo..acha tu asee..huyu jamaa ni shida...sio hela nyingi sana hapo ni dola 250,000 swawa na Tsh 550,000,000
Hahahaa umeona mkuu...sjui kwann inakuaga hivo...tena anaweza kukuambia mwanangu saiv sina hela ...tena hao anaoambatana nao kwenye bata ..i mean team yake..nataman sana kujua anawalipaje...labda kama wanapiga dili kupitia yeye..Hakupi hata dola 100
Ila wakifulia, utawaonea huruma