Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vitu fake unatumia wewe sio Floyd mayweather
Wacha tu tuiamkie pesa mijamaa na mbavu zao ipo kazini hapo wanaweza kukikamata na kukiwamba makofi lakini.......
Kicheko gani hiki?Yesu wangu jaman auwiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiiiii jaman eeee
wewe inaonekana unakichwa kizito kuelewa au unatakiwa kueleweshwa kwa fimbo na vibao. ni kwamba nimekuwekea picture floyd akichoma pesa. sasa wewe kiazi umekesha usiku wote una gugo kuja na hicho kiushahidi. sasa kama ni kosa watunga sheria inatakiwa waisimamie hiyo sheria. lakini alichoma pesa akiwa atlanta nightclub kipindi hicho hujazaliwa![]()
Ni kosa kisheria ww Kilaza.
Wewe ndo kilaza sasawewe inaonekana unakichwa kizito kuelewa au unatakiwa kueleweshwa kwa fimbo na vibao. ni kwamba nimekuwekea picture floyd akichoma pesa. sasa wewe kiazi umekesha usiku wote una gugo kuja na hicho kiushahidi. sasa kama ni kosa watunga sheria inatakiwa waisimamie hiyo sheria. lakini alichoma pesa akiwa atlanta nightclub kipindi hicho hujazaliwa
kwamba hujaelewa au unausingizi. tetea kwa hoja usiwe muoga kiasi hicho. swala hapa floyd alichoma pesa?Wewe ndo kilaza sasa
kama ndio hivyo basi Mungu alichemka kumpa mtu kama huyu. Alitakiwa afanye homework yake na ampe kidogo kidogo amuangalie. Maana alikuwa hana idea kesho na kesho kutwa hela anazompa atazitumia vipi.Mungu hakupi kwa ajili ya maonyesho anakupa ili uwasaidie wengine. angewasaidia wanao hitaji kwa kweli ni wengi sana. angesaidia hata watoto wagonjwa ambao wanatese hospitalini na wazazi hawana pesa. ila sie ngozi nyeusi malimbukeni sana tukipata pesa.
Mungu hajachemka ila huyu mwanadamu kakosa hekima ......ndiyo maana tunaambiwa tuombe hekima ili ituongoze katika maisha yetu.kama ndio hivyo basi Mungu alichemka kumpa mtu kama huyu. Alitakiwa afanye homework yake na ampe kidogo kidogo amuangalie. Maana alikuwa hana idea kesho na kesho kutwa hela anazompa atazitumia vipi.
kwa kumpa hela mtu asiye na hekima ya kuzitumia, ye Mungu mwenyewe ana hekima?Mungu hajachemka ila huyu mwanadamu kakosa hekima ......ndiyo maana tunaambiwa tuombe hekima ili ituongoze katika maisha yetu.
Naona wewe hauamini uwepo wa Mungu hapa tutakesha. Mjadala uishe tu.kwa kumpa hela mtu asiye na hekima ya kuzitumia, ye Mungu mwenyewe ana hekima?
okay yaishe, siku ingine usichomeka vi sub topic ambavyo huwezi kuvifafanua.Naona wewe hauamini uwepo wa Mungu hapa tutakesha. Mjadala uishe tu.
Unataka za uso Si burengese
Sijachomeka bali nimetoa mawazo yangu. Ila uelewa tofauti ndiyo maana waona hvyo.okay yaishe, siku ingine usichomeka vi sub topic ambavyo huwezi kuvifafanua.