Floyd Mayweather anaishi maisha ya ajabu

vitu fake unatumia wewe sio Floyd mayweather
afc1e98f153f8d8de983c60f093e770d.jpg

Ni kosa kisheria ww Kilaza.
 
afc1e98f153f8d8de983c60f093e770d.jpg

Ni kosa kisheria ww Kilaza.
wewe inaonekana unakichwa kizito kuelewa au unatakiwa kueleweshwa kwa fimbo na vibao. ni kwamba nimekuwekea picture floyd akichoma pesa. sasa wewe kiazi umekesha usiku wote una gugo kuja na hicho kiushahidi. sasa kama ni kosa watunga sheria inatakiwa waisimamie hiyo sheria. lakini alichoma pesa akiwa atlanta nightclub kipindi hicho hujazaliwa
 
Wewe ndo kilaza sasa
 
Ni bingwa wa kubet through it anatengeneza pesa nyingi sana bila jasho ndio maana ni mtumiaji mzuri
 
Mungu hakupi kwa ajili ya maonyesho anakupa ili uwasaidie wengine. angewasaidia wanao hitaji kwa kweli ni wengi sana. angesaidia hata watoto wagonjwa ambao wanatese hospitalini na wazazi hawana pesa. ila sie ngozi nyeusi malimbukeni sana tukipata pesa.
kama ndio hivyo basi Mungu alichemka kumpa mtu kama huyu. Alitakiwa afanye homework yake na ampe kidogo kidogo amuangalie. Maana alikuwa hana idea kesho na kesho kutwa hela anazompa atazitumia vipi.
 
Mungu hajachemka ila huyu mwanadamu kakosa hekima ......ndiyo maana tunaambiwa tuombe hekima ili ituongoze katika maisha yetu.
 
kwa kumpa hela mtu asiye na hekima ya kuzitumia, ye Mungu mwenyewe ana hekima?
 
anafanya mazoezi ya kuumiza mwili wake na pia kichwa na mbavu zake zinaumia sana ulingoni.
hivyo hamna ubaya kutumia pesa jinsi awezavyo
 
Back
Top Bottom