Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
we unaejua kuandika jina lako maisha yako yakoje? hamfukii floyd hata theluthi moja....msikariri maisha vijana fanyeni kazi kwa bidii,tumieni vipaji vyenu mtatoboa.Huyo hata kuandika jina lake hajui,mwache zama zake zitapita atakuja kuwa ka mike tyson baadae na atakuwa funzo kwa wengine