Floyd Mayweather anaishi maisha ya ajabu

Ila watu kama hawa hata kukupa dola elfu moja hawezi nashindwaga kuwaelewa watu wenye pesa. Kama juz alichoma hela hadharani....saivi yuko visiwan huko anaafanya racing sports kwenye maji..
Meza kamaa yako hapo ndan ndugu unayesoma imepangwa hela bunda kote na ni bunda zimeshiba..daah..
 
zitakuwa zina mchanganya akili hajui afanyie nini
 

Hakupi hata dola 100

Ila wakifulia, utawaonea huruma
 
Hakupi hata dola 100

Ila wakifulia, utawaonea huruma
Hahahaa umeona mkuu...sjui kwann inakuaga hivo...tena anaweza kukuambia mwanangu saiv sina hela ...tena hao anaoambatana nao kwenye bata ..i mean team yake..nataman sana kujua anawalipaje...labda kama wanapiga dili kupitia yeye..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…