Floyd Mayweather anaishi maisha ya ajabu

Mungu hakupi kwa ajili ya maonyesho anakupa ili uwasaidie wengine. angewasaidia wanao hitaji kwa kweli ni wengi sana. angesaidia hata watoto wagonjwa ambao wanateseka hospitalini na wazazi hawana pesa. ila sie ngozi nyeusi malimbukeni sana tukipata pesa.
 
Huyu ni limbukeni.............na pia ni mgonjwa wa akili.
 
Unataka akupe hela zake bure tu?
 
Anakwambia akiwa hewani yupo na private jet, akiwa kwenye maji yupo na Luxury boat na akiwa ardhini ndio shigda yupo na more than 10 luxuries cars. Na kila anaposafiri huwa achukui nguo ila anaenda kununua nguo huko huko anakoenda.
Yesu wangu jaman auwiiiiiiiie yeuwiiiiiiiii auwiiiiiiii jaman eeee
 
Cheki thamani ya magari yake na hiyo ndege anayomiliki achana na boat ambayo hapo haipo wala mijengo aliyonayo.
 
Ulimbukeni tu, ina maana benki wameshindwa kumtunzia au ni kutafuta kiki tu
 
Anataka kuzipiga na bigwa na ufc mayweather ataingiza kamaa 100m jama akiwa mjanja atakuwa billionare
 
Angemuuliza Tyson nini maana ya kufulia alafu ajitafakari! Anyway ngoja aponde pesa yake saivi zikiisha atasimulia wajukuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…