AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
ndio maana mzungu huwa anaidharau sana rangi nyeusi, ni kwasababu ya akili za aina hii.Jaman embu muangalieni tu...
Hizo hela na bado zinaingia kila mwezi ....daah..haya.
View attachment 345139
Bingwa wa ufc??? Sasa si ameacha..ila bwana huyu jamaa anavopenda sifa atarud ulingoni ila sjui ..Anataka kuzipiga na bigwa na ufc mayweather ataingiza kamaa 100m jama akiwa mjanja atakuwa billionare
Si unaona mkuu...tyson alikua na hela bwana ...achen tu ...Angemuuliza Tyson nini maana ya kufulia alafu ajitafakari! Anyway ngoja aponde pesa yake saivi zikiisha atasimulia wajukuuu
Atapambana ja ufc champion conor mcgregor washakubaliana, mayweather atachuku dollar 144m alafu conor atapata dollar 10m washakubaliana lakin bado kuweka kwenya pepar alaf pia conor mcgregor ana mkataba na ufc ndo bado kunashida kidogoBingwa wa ufc??? Sasa si ameacha..ila bwana huyu jamaa anavopenda sifa atarud ulingoni ila sjui ..
Ikitokea hvy ata switch kwny ishu zngn kama taison kwa sasa n actor..kwahy hawez kuanguka kma w kwetu ambao wakipotea nd moja kwa1Huyo hata kuandika jina lake hajui,mwache zama zake zitapita atakuja kuwa ka mike tyson baadae na atakuwa funzo kwa wengine
teh teh teh jirani huu mchezo hautaki hasira...by the way nimependa macho hayo japokua najua ki uhalisia huwezi kua na uzuri km huo.....Rudia kunisoma..Sio unajibu ka unachamba,mi wala sijamdisi
Ndiyo maana tunasemwa kuwa sisi wenye asili ya rangi nyeusi akili pungufu kabsa, utachomaje hela, hata siyo billionaire kama whites ambao wametulia na miradi yao kibao, sasa huyo nigga anafanya kufuru za ajab akja kufuria watu hawataamini.juzi kati alichoma moto pesa
kweli mkuu na alileta mjadala mrefu sana alivyo fanya huo ujinga akiwa club. nakubaliana na aliyetoa comment kwamba huyu kijana floyd kichwani hakuna kituNdiyo maana tunasemwa kuwa sisi wenye asili ya rangi nyeusi akili pungufu kabsa, utachomaje hela, hata siyo billionaire kama whites ambao wametulia na miradi yao kibao, sasa huyo nigga anafanya kufuru za ajab akja kufuria watu hawataamini.
Ushaona eeee!! Sisi weusi ubinafsi umepita kiasi, hilo linigga mpaka linachoma hela moto wakati huko marekani kuna manigga wenzake wanaishi kwenye slum ghettos, jinga saaaana. God pays against arrogant fools like this nigga.Mungu hakupi kwa ajili ya maonyesho anakupa ili uwasaidie wengine. angewasaidia wanao hitaji kwa kweli ni wengi sana. angesaidia hata watoto wagonjwa ambao wanateseka hospitalini na wazazi hawana pesa. ila sie ngozi nyeusi malimbukeni sana tukipata pesa.
Walio wengi wenye vipaji haram kama ngumi, huwa kama haziwatoshi wengi hawana hekima na kiasi cha mambo.... Ni majivuno na fujo pia ulevi.kweli mkuu na alileta mjadala mrefu sana alivyo fanya huo ujinga akiwa club. nakubaliana na aliyetoa comment kwamba huyu kijana floyd kichwani hakuna kitu
haya matatizo yao naona yanatokana nangumi za kichwa wanazo kumbananazo ulingoniWalio wengi wenye vipaji haram kama ngumi, huwa kama haziwatoshi wengi hawana hekima na kiasi cha mambo.... Ni majivuno na fujo pia ulevi.