Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Hawa jamaa ndio maana huwa wanaishiwa mpaka wanaanza kutafuta kazi za $8/hr. Mfano mzuri ni Michael Tyson!.

Mkuu Tyson anaweza kuwa kafilisika lakini sio kiivo asee. Jamaa kashuka kifinancial but bado pesa anayo ya kutosha
 
Sign moja wapo ya Poor fathers ni kuwa huwa wanatabia ya kununua takataka(liabilities) badala ya Assets. Watu maarufu wengi wameponza na style hiyo ya maisha na matumizi, wengi waliishia kufilisika na mwishowe kabisa Unga huwa ndio kimbilio lao. Na hufa wakiwa masikini kabisa.
 
Utaendesha kila kitu ndege gari we utaweza, ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza...na watu msururu....(kazi yake mola by madee)
Unajua huo msemo uliletwa kwa ajili gan "( watu maskini wa mawazo) We endelea kukariri hivo ukiamin ipo siku flan atakufa na tumzike" Ili mlingane ...... Huku ukoo wako ukiendelea kula magimbi na kufa siku hata zkiwa hazjafka "" """
 
Diamond nae anataman siku moja nae awe na mafumba kama mshkaji anunue private jet
Asiwa na hofu one day yes cha msingi kwa sasa anunue hata used!
Akiongea vizuri ntamuunganisha na jamaa wa "Slow Jet"
Wanaweza kumuuzia hata moja,
Ipo ile inayotoka bara kwenda Dar hiyo injini yake ilikufa wakaweka injini ya pikipiki!
 
Utaendesha kila kitu ndege gari we utaweza, ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza...na watu msururu....(kazi yake mola by madee)
Hii ni akili ya kujifariji pale mtu unapokuwa huna hivyo vitu
 
Ila sio maskini amiliki ndege never
Kweli yeye ana hela na amechagua kuzitumia hivyo kwa kununua private jet ni mapenzi.

Wewe unaweza ukawa na hela nyingi kama yeye lakini uka invest na ukawa na nyumba kubwa na mahitaji yote halafu usinunue meli ingawa unazo za uhakika

Jamaa ana hela na anafurahia maisha aliyoamua yeye
Hivi ungekuwa nazo ungenunua magari 100? Yeye ameziweka ndani
 
We ulidai kwamba hayo anayoyafanya hayausiani na pesa bali lifestyle aliyoichagua "Je!!?? Na mm naweza nikachagua kuishi style hiyo bila ya pesa" money ndo kila kitu mkuu hasa kwa dunia hii ya leo, utafanya meng sana,,,,,........
 


Mkuu Chinga;
Wivu gani umeuona mkuu? Kwamba natamani niwe na hiyo ndege! Dah! Sijui wewe angekuambia chukua hii ya kwanza ungeshangilia nadhani. Lakini, wanaoijua gharama ya kuiweka ikae angani wangeona kawalaani tu. Wewe ungeipeleka wapi? Mimi sina cha kufanya nayo, wala uwezo wa kuipiga grisi tu sina hivyo sina wivu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…