Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Utaendesha kila kitu ndege gari we utaweza, ila siku ya mwisho tutakubeba kwenye jeneza...na watu msururu....(kazi yake mola by madee)
Acha kujipa moyo mkuu,kufa kupo palepale kwa kila mtu lakini haiwezi kuwa sababu ya kukuzuia kuishi maisha mazuri,alimradi humsumbui mtu,mayweather simkubali kwa tabia zake za kujibaraguza na show off lakini hyo hela hakupewa kaipata kwa juhudi zake hivyo anahaki ya kuitumia atakavyo.
 
Na pambano lake moja linakusanya kiasi gani? najaribu kuona kukusanya hizo hela kununua ndege mbili! Looks they are getting good pay from boxing
Huyo mnyamwezi ana utajiri (net worth) wa zaidi ya dalari 400 milioni,na ndege za dizaini hizo alizo nazo zinakosti around 20-40mill.so utapiga mahesabu mwenyewe
 
Back
Top Bottom