Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Dah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
ila hii ngozi nyeusi tunapenda sana kujishow off..yaani angalia mswahili yoyote duniani..anataka kubling,raba kali jeans kali,gari..lakini wazungu wala..wapo na suti tu.Sijui kwanini tuko hivyo
 
Dah! Huyu mwamba angekuwa bill gate sijui ingekuwaje.. Nawaza tu.
mkuu ndiyo maana watu kama hawa na wakina mike tyson. Uwezo wa kufikisika ni mkubwa sana kama alivyofilisika Tyson.

Wengi wa matajiri, wanajua sana kubana matumizi na kuzielekeza fedha katika uwekezaji.

Sasa hawa ndugu zetu ni matanuzi mwanzo mwisho. Mwisho wa siku wanakuwa omba omba.
 
ila hii ngozi nyeusi tunapenda sana kujishow off..yaani angalia mswahili yoyote duniani..anataka kubling,raba kali jeans kali,gari..lakini wazungu wala..wapo na suti tu.Sijui kwanini tuko hivyo
Kweli mkuu
 
Hakuna namna-- unatafuta pesa unazitumia! Ukiona mtu anatafuta pesa halafu hatumii ipasavyo basi huyo atakuwa na aina fulani ya magonjwa ya akili.
 
Hapo naanza kukubali kwamba waafrika tumepewa nguvu mwilini lakini akili hatuna,na tushukuru Mungu industrial revolution baada ya mapinduzi ya viwanda laa sivyo tungekua tunapigishwa kwata shambani, watu weusi ni shida
 
Zile pesa alizowin baada ya kumdunda man pac kipenzi changu kumbe bado hazijaisha
 
"If you invested even half of that energy you put on worrying about others' pockets, you'da had others worrying about your pockets." - Guess who.... Your favourite Uncle Bob M.
 
Mkuu Chinga;
Wivu gani umeuona mkuu? Kwamba natamani niwe na hiyo ndege! Dah! Sijui wewe angekuambia chukua hii ya kwanza ungeshangilia nadhani. Lakini, wanaoijua gharama ya kuiweka ikae angani wangeona kawalaani tu. Wewe ungeipeleka wapi? Mimi sina cha kufanya nayo, wala uwezo wa kuipiga grisi tu sina hivyo sina wivu mkuu.
Just a joke bro,don mind![emoji28] [emoji28] [emoji119]
 
We ulidai kwamba hayo anayoyafanya hayausiani na pesa bali lifestyle aliyoichagua "Je!!?? Na mm naweza nikachagua kuishi style hiyo bila ya pesa" money ndo kila kitu mkuu hasa kwa dunia hii ya leo, utafanya meng sana,,,,,........
Sikudai hivyo ila ni uelewa tu wala sikuwa na maana hiyo na haina maana hiyo ukiidadavua vizuri
 
Kuna watu siku wakifa hata kama kuna mbinguni wakafanikiwa kwenda huko, watateseka kutokana na life walilokuwa wanaishi duniani ni best kuliko huko mbinguni.
 
Kuna watu siku wakifa hata kama kuna mbinguni wakafanikiwa kwenda huko, watateseka kutokana na life walilokuwa wanaishi duniani ni best kuliko huko mbinguni.
Acha kufananisha mbingu na vitu vya kipumbavu
 
Mnaongea bila kutoa facts za mapato yake, biashara zake, huenda jina la ndege ya kifahari ni geresha tu ila mambo mengi yanafanyika kwa kutumia hiyo ndege. Mtu anaingiza pesa nyingi kwa kutumia hiyo ndege... Lazima siyo mjinga kihivyo hadi kulinunua kwa gharama kubwa ili eti afaidi maisha.
 
Unajua huo msemo uliletwa kwa ajili gan "( watu maskini wa mawazo) We endelea kukariri hivo ukiamin ipo siku flan atakufa na tumzike" Ili mlingane ...... Huku ukoo wako ukiendelea kula magimbi na kufa siku hata zkiwa hazjafka "" """

kwa hiyo hata nisipoamini kwamba hafi, hatokufa kweli??
 
Diamond nae anataman siku moja nae awe na mafumba kama mshkaji anunue private jet

Aisee kuna watu wa ajabu sana dunia hii....Yani unaangalia kitu inspirational halafu unawaza kuwa mwanaume mwenzio ndo anawaza kufikia levels hizo!!!!?...Aiseee......Kweli wanaume wa kweli tumebaki wachache sana dunia hii
 
Sign moja wapo ya Poor fathers ni kuwa huwa wanatabia ya kununua takataka(liabilities) badala ya Assets. Watu maarufu wengi wameponza na style hiyo ya maisha na matumizi, wengi waliishia kufilisika na mwishowe kabisa Unga huwa ndio kimbilio lao. Na hufa wakiwa masikini kabisa.
hivi ndege sio asset? Assets ni nini maana kama manyumba ya maana anayo mbona hata akina bill gates wana ndege? Au kwa sababu jamaa ni black?
 
Back
Top Bottom