Floyd Mayweather kuinunua Newcastle na kumsajili Christiano Ronaldo

utajiri alionao unajua kiasi gani unijulishe?ila kitu mipango ndo maana kataja kumchukua Ronaldo,anajua utaweza kutengeneza Pesa ndefu kwa kuuza jezi na matangazo mbali mbali ya biashara hahah
Utajiri aliokua nao ata Mo Dewji kamzidi show off tu..
 
Kwanza tujue Net yake then Bei ya hiyo Club then tujue salary ya ronaldo kwa wiki
Mmiliki wa sasa mr. mike, tokea 2007 ametumia zaidi ya Trilioni 1 na Bilioni 250 za kitanzania... hio ni kuinunua na gharama nyingine za wachezaji wapya na mambo mengine, sasa jamaa anataka mtu ambaye anaitaka newcastle ainunue si chini ya Trilioni 1 na Bilioni 430 za kitanzania,
dogo floyd kufikia january mwaka huu alikua na utajiri wa Trilioni 2 na bilioni 260 za kitanzania..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…