Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Akiinunua njoo Morogoro nikununulie Vitz used kutoka Japan.We unajua Maywether ana pesa kiasi gani!? Unajua Newcastle inauzwa kwa bei gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiinunua njoo Morogoro nikununulie Vitz used kutoka Japan.We unajua Maywether ana pesa kiasi gani!? Unajua Newcastle inauzwa kwa bei gani?
[emoji16][emoji3]Akiinunua njoo Morogoro nikununulie Vitz used kutoka Japan.
Utajiri aliokua nao ata Mo Dewji kamzidi show off tu..utajiri alionao unajua kiasi gani unijulishe?ila kitu mipango ndo maana kataja kumchukua Ronaldo,anajua utaweza kutengeneza Pesa ndefu kwa kuuza jezi na matangazo mbali mbali ya biashara hahah
Mmiliki wa sasa mr. mike, tokea 2007 ametumia zaidi ya Trilioni 1 na Bilioni 250 za kitanzania... hio ni kuinunua na gharama nyingine za wachezaji wapya na mambo mengine, sasa jamaa anataka mtu ambaye anaitaka newcastle ainunue si chini ya Trilioni 1 na Bilioni 430 za kitanzania,Kwanza tujue Net yake then Bei ya hiyo Club then tujue salary ya ronaldo kwa wiki