Nimelazwa macho na uiinga wa waafrika ohooh pambano saa tisa saa tisa kumbe saa moja asubuhi akiri za mwafrika bhana akiambia kuwahi anachelewa na akiambiwa kuchelewa anawahi shida sana eti.....! Nimechukia sana make tangu saa nane niko macho...
ucjal. Mpambano utaanza sasahv naona tayar wote wapo ulingoni.
Nyimbo za taifa. Muda c mrf mpambano utaanza
Haha haha ha ha afadhali mie nimeamkia na pambano la mwisho la utangulizi,poleni mliokesha majumbani mwenu wengine kwenye vilabu vya usiku, Jamie fox anajua kuimba eeh !
Channel ipi
sawa sawa mkuu wew ni yule deogratius riyunga ninNamuona man pac anaanza mbwembwe kwa kuingia ulingoni. Naye floyd anaingia taratibu kama ana presha vile
uleme umekata
Round ya kwanza wote wapo makn san wote wanafanya vzr hapa. Round y kwanz imeisha
Pacman hatarii hapa