Floyd Mayweather v Manny Pacquiao confirmed for 2 May

Floyd Mayweather v Manny Pacquiao confirmed for 2 May

Nimelazwa macho na uiinga wa waafrika ohooh pambano saa tisa saa tisa kumbe saa moja asubuhi akiri za mwafrika bhana akiambia kuwahi anachelewa na akiambiwa kuchelewa anawahi shida sana eti.....! Nimechukia sana make tangu saa nane niko macho...

ha ha ha aaaa, nimecheka sana
 
Haha haha ha ha afadhali mie nimeamkia na pambano la mwisho la utangulizi,poleni mliokesha majumbani mwenu wengine kwenye vilabu vya usiku, Jamie fox anajua kuimba eeh !
 
Namuona man pac anaanza mbwembwe kwa kuingia ulingoni. Naye floyd anaingia taratibu kama ana presha vile
 
Wanaume wanaingi kwenye ring now hamjachelewa
 
Round ya kwanza wote wapo makn san wote wanafanya vzr hapa. Round y kwanz imeisha
 
round ya4 bado wapo vzr wote wana mywhether anapokea makonde mfululizo kutoka kwa manpac
 
Back
Top Bottom