Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
manny pacqaiao anashinda.
nasikia kuna jamaa anafanya tizi la kukata magogo
Pacman utamuona kama amesimama.Mywether is the best defensive boxer with accuracy punch without knock out power...pacman is the best offesive boxer with different style who has knock out punch power. Mywether akicheza kwa style yake ya shoulder role kama tulivyozoea atakumbana na kichapo kikali kutoka kwa pacman.....Kumbuka pacman anaweza kupiga combination hadi 6 kwa wakati mmoja kitu ambacho mywether hana.....pacman huwa anarusha konde lake la kushoto bila mpinzani wake kuona kwa haraka sana......hela yangu naiweka kwa pacman japo jamaa si mzuri sana kwenye kujilinda
Ningekua na hela ninge bet.....nna uhakika ningekulaPacman utamuona kama amesimama.
Naweka kilo tano Mayweather kwa anayetaka ku-bet.
Angalia clip ya Pac-man na Marquez, halafu angalia clip ya Mayweather - Marquez.Ningekua na hela ninge bet.....nna uhakika ningekula
Hiyo excuse ya mywether na marquez ndio inatumiwa sana na mashabiki wa mywether kuonesha kuwa pacman atapigwa kirahisi na mywether. Pacman alimpiga cotto kwa knockout...mywether alitolewa jasho kwelikweli na cotto akashinda kwa point....Pacman alimpiga delahoya kirahisi knockout raundi ya nane.....mywether alipata shida kwelikweli akashinda kwa point....ortiz kama sio unfair play ya mywether alikuwa anashinda lile pambano. Mwisho wa siku huwezi kucompare figheters ndo ukasema kwa kuwa huyu alimpiga huyu basi atampiga huyu.....all matters ni styles....Pia Kumbuka Marquez alishapigwa mara mbili na pacman kwa UD na aliangushwa mara nyingi tu.....so point yako ni mfu.Angalia clip ya Pac-man na Marquez, halafu angalia clip ya Mayweather - Marquez.
Ukimaliza .. angalia film inayoonyesha adjustments in the ring - Mayweather vs. Zab Judah.
Utaniambia kuwa Mayweather ni Genius, Pac man watu washampiga mara nyingi tu.
Wale wapenzi wa haya mambo......hebu tuwe tunapeana update kuhusu hawa jamaa na pambano lao kwa ujumla...!maana nahisi hili pambano linasubiriwa kwa hamu sana ulimwenguni!
Ndiyo maana ukaambiwa uangalie hizo tapes zipo youtube.Hiyo excuse ya mywether na marquez ndio inatumiwa sana na mashabiki wa mywether kuonesha kuwa pacman atapigwa kirahisi na mywether. Pacman alimpiga cotto kwa knockout...mywether alitolewa jasho kwelikweli na cotto akashinda kwa point....Pacman alimpiga delahoya kirahisi knockout raundi ya nane.....mywether alipata shida kwelikweli akashinda kwa point....ortiz kama sio unfair play ya mywether alikuwa anashinda lile pambano. Mwisho wa siku huwezi kucompare figheters ndo ukasema kwa kuwa huyu alimpiga huyu basi atampiga huyu.....all matters ni styles....Pia Kumbuka Marquez alishapigwa mara mbili na pacman kwa UD na aliangushwa mara nyingi tu.....so point yako ni mfu.
Hata ww pia uangalie clips zinazoonesha udhaifu wa mywether......kuwa huwa anapata shida sana na south paw fighter like pacman....kuwa mywather sio counter punch boxer...mabondia wa namna hiyo huwa wanapigwa kirahisi na pacman....kuhusu point yako ya pacman kupigwa mara nyingi sio issue...mohamed ali, mike tyson, sugar ray wote walipigwa lakini ni icon ya boxing generation after generation......Ndiyo maana ukaambiwa uangalie hizo tapes zipo youtube.
Kuhusu Ortiz sidhani kama upo serious.
The prety boy, The Best Ever, gheto boy lazima amkalishe mfilipino haina ubishi
!
!
hao wote hawafui dafu kwa mtoto wa Moro, fransis cheka
Hata ww pia uangalie clips zinazoonesha udhaifu wa mywether......kuwa huwa anapata shida sana na south paw fighter like pacman....kuwa mywather sio counter punch boxer...mabondia wa namna hiyo huwa wanapigwa kirahisi na pacman....kuhusu point yako ya pacman kupigwa mara nyingi sio issue...mohamed ali, mike tyson, sugar ray wote walipigwa lakini ni icon ya boxing generation after generation......
So you are a money maker team.........!nice