Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salamander.
Kwa jinsi muda unavyokwenda maywether anaanza kutoa kauli za kujiamini dhidi ya pacuao.tofauti na mwanzo. I think sasa ameanza kuwa vizuri.
I am dissapointed in Manny..he's left it so late to agree to this fight..Manny's interests have now changed with his involvement in politics..I know with certainty he's only doing this for the money and he's definitely going to lose it..nevertheless it will be an interesting encounter.
itakua saa ngapi kwa Tz?
hv hili pambano caye5 vs leo santacrue likiisha ndo linakuja la maywhether versus many pacquiao?
Hili pambano si cayetano wala.mwenzake anayekwepa ngumi
Wote wanatumia mabavu tu
Na cayetano ana nafasi kubww ya kumpiga Kos ama.TKO mwenzake
mkuu endelea kutupa updates huku tanesco wamefanya yao tayaricaye5 kapigwa. Namuona mike tyson ndani ya nyumba.
mkuu endelea kutupa updates huku tanesco wamefanya yao tayari
Nimelazwa macho na uiinga wa waafrika ohooh pambano saa tisa saa tisa kumbe saa moja asubuhi akiri za mwafrika bhana akiambia kuwahi anachelewa na akiambiwa kuchelewa anawahi shida sana eti.....! Nimechukia sana make tangu saa nane niko macho...