Hivi wewe unaona wana akili inayotakiwa,mbona hawana.Soma comment yangu hapo chini,utaelewa ninacho maanisha.
COMMENT
"Ni ajabu sana kwamba watu hawasomi mabandiko kama haya,ambayo ni muhimu sana kwa maisha yao,na badala yake wanakimbilia sports/udaku news.Hii yenyewe inaonyesha kwamba tayari they are affected.
Ni kweli kabisa mkuu, sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu,ili watawala waweze kuwatawala wananchi kirahisi kwa kuwa wana kiwango kidogo cha kufikiri. Hii huwafanya wasiwe na upinzani dhidi ya mamlaka.
Athari za Chloride ni kwamba baada ya kuitumia kwa muda, Chloride inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na hivyo kumfanya awe mtii zaidi kwa watawala.
Nilishaleta bandiko kama hili hapa,but few read it.Kinachoendelea katika nchi yetu sasa kwenye swala la kuwapa bandari zetu Waarabu,na mengi yaliyotokea huko nyuma kwenye mikataba na mambo mengine mbalimbali Kama Covid nk., kunaonyesha wazi kwamba serikali yetu ni collaborator katika conspiracy hii against us,na ndio maana hatujajali wala kufikiria kuchukua hatua zozote. Kutochukua hatua zozote against the establishment na kuwa complacent in everything kunaonyesha wazi kwamba tumekuwa affected and we are zombies of some kind."
Usichukulie mambo poa mkuu,tumeathirika sana.It has been proved that
'Chlorinated water 'can DOUBLE the risk of heart and brain abnormalities.'