Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Yes.Kwahiyo kama Mungu wanamwamini na anawalinda hata wakinywa hayo maji bila kujua athari zake hawatapungukiwa kitu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes.Kwahiyo kama Mungu wanamwamini na anawalinda hata wakinywa hayo maji bila kujua athari zake hawatapungukiwa kitu ?
No habagui,hata wewe unayo nafasi ya kumwamini ili upate ulinzi wake,it is your choice,Mungu hakulazimishi.Lakini naomba ulijue hili,kama huna Mungu,una Shetani instead,you can't have both or be neutral.Kwani Mungu hubagua ?
Basi futa hii mada yako maana hata wakinywa hawataathirika chochote Mungu atawalindaYes.
No, wapo ambao Mungu hawapi ulinzi, kwa hiyo wakinywa maji yenye Floride watadhurika,so it must remain ili wajue kuna hatari wajiepushe na hayo maji.Hawa wanaweza kuwa wana wa Mungu baadae.Basi futa hii mada yako maana hata wakinywa hawataathirika chochote Mungu atawalinda
Umefikiri vyema.Mimi bado nahitaji kufanya uchunguzi zaidi,
Kwasababu hao viongozi wanaotuwekea hayo maji na wao wanayanywa
Au unataka kusema wanayokunywa wao hayana?
Unaongeleaje watu wa KASKAZINI arusha na kilimanjaro ambao kwa kiwango kikubwa maji yao yana kiwango kikubwa cha fluoride (natural occuring fluoride) ?????Fluoride katika maji kwa ajili ya kudhibiti akili
Unaweza kuwa na ufahamu wa fluoridation. Ni mchakato ambao serikali/viwanda vya maji uongeza fluoride kwenye maji kwa ajili ya usambazaji/uzalishaji wa maji ya kunywa, lengo kuu la kutumia fluoride likiwa ni kuimarisha mifupa na meno, hasa kwa watoto. Inaonekana kama mpango mzuri, kwa manufaa ya wananchi. Hata hivyo, kuna wengi ambao wanaamini kwamba sababu za kuanzishwa kwa fluoride katika maji yetu ni sinister zaidi.
Kwanza yatupasa tuelewe tofauti kati ya aina ya fluoride ambayo miili ya binadamu na aina ya sumu wanayosema inaongezwa kwenye maji yetu. Organic calcium-fluoro-phosphate ni aina nzuri, aina ambayo tunahitaji kujenga na kuimarisha mifupa na meno yetu, na inaweza kupatikana katika vyakula. Ni chumvi ya kikaboni(organic), ya chakula, isiyo na maji, na inaweza kuchanganywa ndani ya miili yetu. Hii sio aina ya fluoride ambayo watetezi wa hili na kauli yao wanatetea kwamba viwanda vinatulisha kupitia maji yetu. Aina hiyo inaonekana ni fluoride ya sodiamu(sodium fluoride) sumu ambayo ni mbaya, kemikali hii inaweza tumika kama sumu ya panya.
Sodiamu fluoride katika maji inasemekana kuwa na madhara kadhaa, kutoka kuharibu meno na kutoa lobotomies ndogo kwa kiasi kikubwa miongoni mwa watu hadi kuhathiri uwezo wa kufikiria wa mtu. Hii ndiyo sababu kuu watalaamu wanasema kwamba kemikali hii inasambazwa katika maji ya kunywa. Wanasema kuwa sababu halisi ya kutumia kemikali hiyo ni kufifisha ubongo na akili ya binadamu ili waweze kuendesha akili yake na kuwa na kiwango kidogo cha upinzani dhidi ya mamlaka.
Wanasema kwamba, baada ya muda, kiasi cha fluoride katika maji polepole ugeuka sumu kwa mtumiaji na kuua sehemu ya ubongo ambayo inafanya mtu kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri na utii zaidi kwa watawala. Kuna nadharia nyingi tofauti kuhusu asili ya fluoridation ya usambazaji wetu wa maji.
Baadhi ya watu wanaamini kuwa ni mpango uliobuniwa na Hitler na wanasayansi wake wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambao baadaye ulipitishwa na Marekani. Wengine wanafikiri biashara kubwa na kampuni nyingi za afya ziko nyuma yake, kwa kutumia fluoride ya sodiamu ili kufanya watu wawe rahisi kudhibitiwa katika kutekeleza mipango yao. Pia kuna watu ambao wanaamini kwamba aina ya fluoride inayowekwa katika maji yetu ni aina salama zaidi, lakini kwamba, kimaadili ni makosa. Wanasema kuwa ni kama serikali kuwachanja watu wake kinyume na matakwa yao, bila ruhusa yao.
View attachment 2679049
Jicho la tatu ni lipi?Inauwa jicho la tatu
Wamemchagua kichaa kusimamia masuala ya afya. RFK Jr na Mathanzua ni dugu moja kabisa.USA wanataka kuipiga marufuku