William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Habari zilizopatikana hivi punde toka South Africa, ni kwamba Baba wa The Greatest promoter and entertainer nchini Ndugu yetu Joe Kusaga, yaani Mzee Kusaga, amefariki leo huko South Africa, alikokuwa akishikiri katika matibabu ya ugonnjwa mbaya sana wa kansa, ambao umekuwa ukimsumbua kwa muda sasa.
- Hizi ni habari za majonzi sana wapenda michezo wote nchini, kwani Joe na Marehemu, wameshiriki sana tena kwa kiwango kikubwa sana kuu-create na kuuinua mziki wa kizazi kipya nchini yaani Bongo-Flava. Ninakumbuka Clouds Disco, toka in the 80s ilipoanzishwa rasmi na Kaka yake Joe, Mkulu Justin Kusaga na in the the 90s, ikachukuliwa na kufufuliwa upya na Joe, ambaye kwa kushirikiana na Marehemu ambaye siku zote alikuwa behind the scene hasa ofisini, wameiwezesha Clouds leo kuwa ni the Giant entertainment wa muziki nchini, na hasa jiji la Dar.
- Ninatoa pole kwa moyo mzito sana, kwa Brother Joe Kusaga, Bro Gody, Bro Andy na familia nzima ya Kusaga, Mungu awape nguvu, ujasiri na busara katika kipindi hiki kigumu sana cha majonzi ya kuondokewa na mzee.
- Bwana ametoa na Bwana ametwaa, lihimidiwe jina la Bwana Mungu. tutaendelea kufahamishana maendeleo ya matayarisho ya mazishi ya Marehemu Mzee Kusaga, ambaye mwili wake unatarajiwa kurejeshwa siku ya Alhamis.
Mungu Awabariki Familia Nzima ya Kusaga!
Respect.
Field Marshall Es