Foby na ibrahnation ni dhahabu zilizotupwa mchangani...

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani..

Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna ile tabibu dah kiukweli huyu jamaa namkubali saana..

Kuna huyu mwingine foby.
Huyu jamaa ana melody ya hatari Sana.. Yaani kusikiliza nyimbo unajihisi Kama unaimba Wewe vile..
Katoa ngoma mpya inaitwa bora.. Nashaur mkaisilize msije kusema Pancho natoa promo..

Cha ajabu sizijui hata management zao.. Ina maana wamepuuziwa. Tu..

Dah.

Pancho Latino..
 
watanganzaji wa clouds hao au?
 
Chorus aliyopiga Foby kwenye Tunakula Bata zaidi ya Rkelly.
 
Mkuu! Fobby hana Management......
Mida hii naandika Video yake ya nyimbo ya Bado ndo inamaliziwa ku shoot.... Vijana wapo Location Now, Jumamosi itakua hewani Kama Kila kitu kitakua Sawa.....
Dogo ana kipaji Sana... Na nyimbo yake ni Kali.
 
Wewe ndo mtunzi wake mkuu? Kwanini Hana management?
 
Hapana sio mtunzi wake...
Mwanangu ndo anamfanyia Video so nilikuwepo Location....

Sijajua kwa nini mpaka Sasa hana Management.
Show Kali mzee director ni nani sasa?
 
Muziki ni kile wanachotaka watu/wasikilizaji...Ibrahnation,Foby,Hanstone,Marioo wanavipaji sana.
Inawezekana ulichosema,ni vigum sana kuelewa hawa vijana kwa nn hawapo wanapotakiwa kuwepo ila kuna sehem ndogo ndogo wanachemka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…