Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani..
Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna ile tabibu dah kiukweli huyu jamaa namkubali saana..
Kuna huyu mwingine foby.
Huyu jamaa ana melody ya hatari Sana.. Yaani kusikiliza nyimbo unajihisi Kama unaimba Wewe vile..
Katoa ngoma mpya inaitwa bora.. Nashaur mkaisilize msije kusema Pancho natoa promo..
Cha ajabu sizijui hata management zao.. Ina maana wamepuuziwa. Tu..
Dah.
Pancho Latino..