Foby na ibrahnation ni dhahabu zilizotupwa mchangani...

Foby na ibrahnation ni dhahabu zilizotupwa mchangani...

Ibranation huyo dogo anajua sana , namfahamu toka kitambo school o level. ana vocal kali balaa.

Alikuwa anatuimbia kwenye matamasha kiskuli skuli. Nyimbo zake nazozikumbuka enzi hizo ni sauti na ni-call

Ila sema ndo hivyo, uwezo anao...tena sana tu... sasa sijajua tatizo ni * au!!!
 
Hivi kwao ni mbeya ama??
 
Hao majamaa wanajya sana nahisi hawana menejimenti very powerful,zenye hela na ushawishi pia JAMAA wamepoa sana hawana makeke ila muziki tu wanaujua
 
Yaani nchi hii kuna watu wanajua mziki mpaka basi.. Yaaani..

Toka nilipomjua ibrahnation sijawahi kuona wimbo wake mbaya..! Ule wimbo Wa nilipize umetoka 2016 ila unaona Kama jana vile... Kuna ile tabibu dah kiukweli huyu jamaa namkubali saana..

Kuna huyu mwingine foby.
Huyu jamaa ana melody ya hatari Sana.. Yaani kusikiliza nyimbo unajihisi Kama unaimba Wewe vile..
Katoa ngoma mpya inaitwa bora.. Nashaur mkaisilize msije kusema Pancho natoa promo..

Cha ajabu sizijui hata management zao.. Ina maana wamepuuziwa. Tu..

Dah.

Pancho Latino..
Hawa jamaa nawakubali Sana wanajua Sana sijui wanakwama wapi? Kama issue ya management mbona jux na ben pol hawana management lakini wanafanya vizuri.Ngoma ya foby ya niokoe ni fire haichoshi kuanzia 2017 mpaka mwaka Huu sijaona ngoma Kali Kama hii.
 
Huyo foby amcheki hata mond anaweza kumchukua coz mziki wa SAS hivi ni talent+management yenye nguvu unatoboa vizuri tu,kings music simshauri aende
 
Foby yupo vizuri ile mbaya ila iyo ibranation comjui,kahit na nyimbo ipi?
 
Pia Marioo, Jay Melody na Hanstone huwa wananiuma kama wanangu vile. Naona uwezo wao na walipo haviendani!
 
Back
Top Bottom