Folding min portable washing machine.

1gb

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
2,199
Reaction score
2,859
Habari.
Wakuu nahitaji hyo mashini ndogo ya kufulia,ndogo kabisa mfano picha hapa chini.
Nipo Dar es salaam.
Nicheki pm tufanye biashara.
Karibu.

 
Subiri waje ila insta kuna mtu niliona anauza ngoja nikaangalie jina
 
Your browser is not able to display this video.
 
Usisahau na contact mkuu wangu.
Maana insta sina account hata ya kuazima.
Thanks in advance
Jina: Ajay_business centre
Contact:0676169893
0673958899
👆👆Hizo ndiyo namba zao walizoandika instagram nazan unaweza kuwasiliana nao🙏 1gb
 
Shukran,ahsante kwa kunyatinyatia.
Mpk hapa tulipofikia,kwa msaada wako.
 
China zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tamaa sana..
Yaan bongo upigaji kila sehemu hakuna penye unafuu.
Labda km unanunua pencil na kifutio.
Ndo imeendelea kubaki palepale kwa mda mrefu.
 
Item Weight13.95 pounds
Package Dimensions22.44 x 15.94 x 14.57 inches
Tuje kwenye gharama za usafiri from china to Tanzania,
Kwa ndege 1kg =13$
Package ni 13pounds sawa na kilo 5 ampambo kama mfanyabiashara akiagiza china na kuship via ndege basi atalipia zaid ya dolla 50 kwa machine moja.
Na kwa kusafirisha kwa meli, Volume ya machine moja ni sawa na makadirio 0.05cbm
1cbm=400$
0.06cbm=?
Jibu ni 24$ ambayo ni sawa na elfu 55+ tsh.
Machine china 30,000/=
Usafiri 55,000/=
Jumla 85,000/=
Hapo Bado transaction fess Bado delivery charges then ifike bongo after 1 month wewe ununue kwa 80k anakufanyia bishara wewe, Usiongee Kama hauna uelewa wa vitu, Kuna dhambi gani hapo mtu hakija kuuza bidhaa hiyo kwa 130k-150k ? Au ulitaka upewe bure
 

Sasa yupi anaeuza Kwa 130..mbona wote wanauza hadi 200k?
Yupo alieuza Kwa 80
 
China zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tamaa sana..
Mimi mara ya kwanza kuiona walikua wanauza 120k lakini sasa hvi insta naona ndo bei zao hizo wacha wafaidike ndiyo maana halisi ya biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…