Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan bongo upigaji kila sehemu hakuna penye unafuu.China zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tamaa sana..
China zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tam
Acha kupotosha kwanza nikweli machine hiyo inauzwa 32-40tsh china lakini size yake per volume ni ;China zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tamaa sana..
| Item Weight | 13.95 pounds |
|---|---|
| Package Dimensions | 22.44 x 15.94 x 14.57 inches |
Tuje kwenye gharama za usafiri from china to Tanzania,
Item Weight 13.95 pounds Package Dimensions 22.44 x 15.94 x 14.57 inches
Kwa ndege 1kg =13$
Package ni 13pounds sawa na kilo 5 ampambo kama mfanyabiashara akiagiza china na kuship via ndege basi atalipia zaid ya dolla 50 kwa machine moja.
Na kwa kusafirisha kwa meli, Volume ya machine moja ni sawa na makadirio 0.05cbm
1cbm=400$
0.06cbm=?
Jibu ni 24$ ambayo ni sawa na elfu 55+ tsh.
Machine china 30,000/=
Usafiri 55,000/=
Jumla 85,000/=
Hapo Bado transaction fess Bado delivery charges then ifike bongo after 1 month wewe ununue kwa 80k anakufanyia bishara wewe, Usiongee Kama hauna uelewa wa vitu, Kuna dhambi gani hapo mtu hakija kuuza bidhaa hiyo kwa 130k-150k ? Au ulitaka upewe bure
Mimi mara ya kwanza kuiona walikua wanauza 120k lakini sasa hvi insta naona ndo bei zao hizo wacha wafaidike ndiyo maana halisi ya biasharaChina zinauzwa kama elfu 30
Hadi Tz baada ya Kodi wapo wanaouza elfu 80 Tu..
Hawa wengine tamaa sana..