Foleni ktk mapenzi

Foleni ktk mapenzi

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Mpenda wanawake alikuwa kasimama nyuma ya demu ktk foleni ya kununua mikate.. Jamaa akamwambia demu: Mrembo bora nikuoe upumzike na hizi foleni za kila siku! Demu akamuuliza jamaa: Je una mke? Jamaa akajibu: Ninao wawili. Demu akamwambia: Akaaa, samahani bora foleni za mikate kuliko za M***!!!
 
inachekesha sana.
Kwangu bora foleni zote kuliko ya mapenzi
 
Hahahahahaha naweka picha foleni ya kulala na mume, lol
 
Wanaume kwa kupenda kutupanga foleni, na siku hizi wanakomeshwa yeye akipanga kuanzia mlango wa mbele na demu anapanga kuanzia mlango wa jikoni. mshindano tu. mtenda hutendwa
 
Hiyo safi sana maana kila mmoja anakuwa bize kuutafuta UKIMWI,na wakishaupata kila mmoja anakuwa bize kuusambaza zaidi......
 
Sitaki kabisa foleni ya mapenzi bora mkate, namtaka wangu wa peke yangu wa milele sitaki kushare na mtu
 
Hahahahaha! Mbona Mi nazipenda foleni za mapenzi. Ila wakati nasubiria niwe nimekaa.
 
Sitaki kabisa foleni ya mapenzi bora mkate, namtaka wangu wa peke yangu wa milele sitaki kushare na mtu

selfish!! wanawake mlivyo wengi cku hz hlf unataka wako peke yako?! sema hutaki kushea ukijua.
 
Mpenda wanawake alikuwa kasimama nyuma ya demu ktk foleni ya kununua mikate.. Jamaa akamwambia demu: Mrembo bora nikuoe upumzike na hizi foleni za kila siku! Demu akamuuliza jamaa: Je una mke? Jamaa akajibu: Ninao wawili. Demu akamwambia: Akaaa, samahani bora foleni za mikate kuliko za M***!!!
haaah duh hii kali haysee
 
Back
Top Bottom